Wakuu Nitampataje "Farhia Middle"

Kipendacho roho mkuu...
 
Kwani ameolewa?
 
Wakuu basi tu aisee, simhitaji tena

Nlitegemea atakuwa at least na chura japo kidg ila nlilotegemea halipo kabisa...kumbe ni sura tu ila ni Flat Screen haswaa.

Kuna jomba kanitumia picha zake 3 [emoji86]

Kwa nini unamdhalilisha na kumuumbua mwenzako? Alikwambia ana shida na wewe?
 
Wakuu basi tu aisee, simhitaji tena

Nlitegemea atakuwa at least na chura japo kidg ila nlilotegemea halipo kabisa...kumbe ni sura tu ila ni Flat Screen haswaa.

Kuna jomba kanitumia picha zake 3 [emoji86]
Wewe unamtaka Farhia au unataka mkia wake
 
Reactions: amu
Uwe unakwenda viwanja kama 777 utamkuta mie alinipa sasa we we unataka kiulaini hangaika mwanamme
 
Kweli mkuu
 
Mtangazji wa runinga na redio nchini Tanzania, Farhia Middle, amesema tangu aingie katika ulimwengu wa mapenzi hajawahi kukutana na mwanaume mwaminifu na kudai kuwa mara kwa mara amekuwa akilizwa na mapenzi jambo ambalo anajiona kama mtu mwenye mkosi.
Akihojiwa amesema kuwa licha ya kusifiwa kwa uzuri na muonekano wake bado amekuwa akikutana na balaa kwa wanaume wasio waaminifu na wanaume wenye mfumo dume wa kuwanyanyasa wapenzi wao jambo ambalo linaendelea kumuumiza katika mapenzi.
Amesema kuwa kuna muda huwa najiuliza ana mkosi gani mbona kila siku analizwa yeye tu? na kudai kuwa anajiona ana mkosi kwani kila mwanaume atakayempata hadumu naye, kitu ambacho kinamuumiza sana na kumkoseshsa raha katika maisha ya mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…