Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

Sasa ndugu kama una mawe na tunakujua Sana humu JF lakini hajabu hakuna hata Ngoma yako moja tunaijua,hivi huoni tayari unashindwa kulitumia jukwaa la jf vizuri! Yaani ilitakiwa mpaka naw tayar jf Isha tapakaa ma Ngoma yako kila sehem humu,unakimbilia kuomba msaada wakati ww umeshindwa ku play part yako,kesho unahisi tukisikia Beira Boy Hana marinda tutakataa kam unataka kitonga na wewe umeshindwa kujisaidia ndio usaidiwe
Bro Mimi ni msanii samahan unaweza nisaidia nikapata konection japo mbili Tatu ninazo ngoma nazaz mwez ujao nitashoot video sasa shida inakuja kwenye konection tu
 
Msukule mwenzangu say it again please tena kwa loudspeaker

Tatizo kama hilo ndilo linalommaliza mkali kutoka kenya pia wanamwita baba yao au khaligraph john

amsr
 
Moja kati ya mstari konzi kwenye ngoma aliyoshirikishwa na Msodoki
"Wanapojua wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji mapenzi ya wadau wa mjini hugeuka kuwa kama samaki na maji"
 
Msukuma kacharuka kwa kununua ndinga kali aliyofanyia show off kwenye kipindi cha bongo flava east africa television anadai amenunua mkwanja mrefu
 
Wanaonaga Instagram siyo u gangster wakati Coolio( Gangster paladise) mwenyewe yupo ktk sosho media
 
jamaa kama ni wa kuelewa naamini kaelewa, ila kama ni makande lazima ataendelea kutumika...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akiri ya BHANGE[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said......mtaalam anakubali uwezo wake binafsi na kutouamini uwezo wa wengine hichi ndicho kikwazo kwake.....huwa anabonge la maprojekt ya msingi sana ila huwa zinaishia njian . INATAKIWA INGEKUWEPO HIP HOP BLUST TOUR NCHI NZIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…