kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Safi ushauri mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro Mimi ni msanii samahan unaweza nisaidia nikapata konection japo mbili Tatu ninazo ngoma nazaz mwez ujao nitashoot video sasa shida inakuja kwenye konection tu
coolio kastaafu u gangstaWanaonaga Instagram siyo u gangster wakati Coolio( Gangster paladise) mwenyewe yupo ktk sosho media
Kweli??coolio kastaafu u gangsta
hata ya tope nayo ni nyumbaIla huwezi jua maana jamaa Ana nyumba bunju,msimchukulie poa
akiri ya BHANGE[emoji41][emoji41][emoji41]Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.
Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
Wote mnaochangia mko vzr ,kuanzia mleta Mada hadi hii comment, km umewahi kukaa na Fid Q utamjua vzr
Fid Q,ana project kibao ,yaani kibao tena za maana tatizo lake kujiamini kupita kiasi,kutowaamini watu,kuchagua aina ya watu wa kufanya nao kazi
1.Fid Friday TV show
2.ujamaa hiphop darasa every Saturday
3.Fid on Thursday show and Tour
Alikua na project ya vitabu na ubalozi wa US
Ukikaa na Fid ndio utajua tatizo lake
Na kwann hizo project zote zimekufa au kusuasua mpk sasa