Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
Good day Fareed Kubanda!

Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu bila kujalisha rika tunakuchukulia kama the instrument of hip hop in Tanzania and East Africa in general. Sijui kama unalijua hili?

Anyways!, Unajua hela ina thamani sababu imetengenezewa "scarcity" ( uhaba) wa kutopatikana kirahisi na hata nyie watu wenye brandy kubwa mjini mnapaswa kuheshimu sana brandy zenu na kujitengenezea scarcity ya kutoonekana kwenye majukwaa flani ya kindezi ili kutengeneza appetite ya watu kuwaona hata kwa bei kubwa once mkilaunch project zenu za binafsi.

Maana life cycle ya music iko kama mfano wa kukidunda kitenesi kwenye chumba chenye ceiling board.. Ukidunda chini kwenye sakafu kitenesi huwa kinaenda juu na kinakutana na ceiling board then kinarudi tena chini. Iko hivi ukifanya music kuna time unafika kwenye ceiling board then you won't go anywhere kinachofuatia ni kurudi chini na kupisha generation nyingine mpya itawale. Juma Nature ungemwambia miaka ile ya 2005's kwamba itafika time mbeleni huko, Watanzania hawatamwelewa tena anachoimba na hataweza kukaa kwenye top 10 yeyote ile hapa Bongo asingekuelewa kirahisi... Mr Nice, Ray C, Ferooz, Daz Baba na manyalali/Matycoon wengine kibao wa mziki..hawaamini kinachotokea kwa sasa baada ya muda kuwaengua kwenye game automatically na wao wanajaribu kurudi kwenye game lakini unfortunately hakuna anaewaelewa tena na muda unawakatalia. Sasa tukubaliane tu ni asili ya mziki kuwa na cycle yake ya kuondoa old artist na kuleta wapya uncontrollably. Wewe Fid Q, Mungu amekupa very charismatic and undeserving favor ya kukaa muda mrefu kwenye game lakini bado hujaitendea haki hii favour Fareed.

Kwa Dunia ya sasa ilivyo mwenye nguvu ya social media ndie mbabe na sio mwenye radio tena kwani takwimu zinasema hadi 2020 zaidi ya 80% ya Watanzania watakuwa na access ya smartphone hivyo technically market inahamia digital na sio kwenye maredio ndio maana mtoto wa kike Hamisa Mobetto alikuwa na kinyimbo chake kisichoeleweka then katafuta scandal na platform ya Mange kaikeep busy Tanzania kumfuatilia alipoona wote wamekuja katoa ngoma yake na inatrend ndio mamba moja trending huko YouTube kwa sasa.. Kaijua nguvu na fitna ya Internet and digital marketing. Kaitumia na inamnufaisha.

Lakini hii namaanisha nini? Kwa sasa Clouds FM wanakuhitaji zaidi Fareed kuliko wewe unavyowahitaji wao hivyo isikutishe just incase ukiamua kuwatosa kwenye show zao they won't affect you musically sababu una fan base ambayo bado ina appetite na trust na wewe coz nahisi hofu yako inaweza kuwa ni kukosa platform ya wewe kufanyia advertising zako maybe ndio maana unakuwa mtiifu kwao hadi kufikia hatua ya kuingizwa kwenye vita ngumu na taasisi ilhali wewe huko solo then hawaishii hapo Clouds na wao bila aibu wanakuweka kwenye kundi la cheap artist na kukupandisha jukwaa moja na akina Budagala na Nkunda Star. This is unfair and injustice kwa experience, talent, ability na potential ya world class kama yako hupaswi kuimba kwenye hizo summer jam za mediocre artist. Remember this "you don't get paid for the hour, you get paid for the value you bring into hours" naamini kabisa Clouds FM hawajawahi kukulipa kulingana na value yako na hawawezi kufanya hivyo kamwe kutokana na talent package yako unayomiliki. Hakyamungu!!!

Wanakulazimisha utokee dirishani kwa WCB then kesho utake tena kuingilia mlangoni kwa WCB? Hawatakuelewa na Itakughalimu!

Clouds FM wanaishi kibepari wanakutumia kwa ajili ya maslahi yao kwa malipo ya kishkaji then wakimaliza wanakutupa chooni kama condom vile na kwa kukuangalia tu wewe jamaa unaishi kijamaa na love sana na hii ndio mistake yako kubwa and you will have to pay for it someday. 50 Cent wakati anaanza kuhustle kuuza drugs street moja kati ya rules number one ya kazi aliyopewa na mentor wake ilikuwa inasema hivi "in this business don't show love.. Love will get you killed" wewe jamaa una roho nzuri na Upendo sana wakati nature ya business yako haitaki love wala ushkaji kwa watu ambao hawawezi kutoa love in response kipindi utakapokuwa kwenye magumu all they can do watakuteta kwamba haukuutumia muda wako vizuri na kama jana mshkaji wako babu Tale kauambia umma hauna gari na unalelewa!? Hii Yote inatokana na uzembe wako wa kutojua namna ya kuchukua hela zako mapeeema... Najua hauitaji marafiki kutokana na kilichotokea kwa Babu Tale majuzi na pia sababu huko aware muziki ni professional ya muda mfupi sometimes.

Ni sawa na soka tu..! Wewe unadhani kwanini wachezaji wa mpira wanalipwa hela ndefu? Ni kwa sababu kazi yao ni muda mfupi unakaa kwenye peak kuanzia ukiwa na miaka 20 hadi 33 then kinachofuata unarudi veterani au wanakuuza China kwa mkopo. That's why nasema una bahati sana bro kukaa kwenye peak kwa muda mrefu kwenye soka hauna tofauti na Paulo Maldini vile. Sasa kwako kama best hip hop artist unaekubalika na kila rika na mwenye fan base kubwa zaidi Bongo, please!! utendee muda huu mfupi haki ya kuchukua hela zako kwetu sisi fans wako mapeeema maana bado tuna appetite na wewe usingoje itokee siku moja hata ukiperfom kwenye tamasha la bure la dume Condom bado hatutaweza kuacha mitakasi yetu tuibuke. Tutakususia sio kwa roho mbaya bali muda utakuwa unakuhukumu.

Kwanza nadhani unamjua Casper Nyovest kutoka SA! Huyu mzawa naamini bado hawezi kufit lock zako za hip hop you are way more far than him potentially and Musically but kuna kitu jamaa kafanya mwaka ulioisha its history and world record regarding SA.. Mshkaji alijipekecha kimkakati akaanzisha hashtag yake ya twitter ikisema #FillFNBstadium to support SA music for Casper. Then Abracadabra!!! Turn out ikawa kubwa. Akaengineer mambo tamasha likakamilika na Mungu sio sholo Mwamba, wakanunua tickets almost watu 70,000 kwenye stadium akavunja record ya mwana hip hop na msanii wa kwanza kujaza uwanja mkubwa SA ambao Justin bieber, Rihana, Neyo, Chris brown hawakuweza kuujaza previously. Baada ya hapo jamaa amepunguza sana ukali wa maisha saana.

Hii ikanifikirisha kwamba Kwani brother Fareed hawezi kulaunch movement yake na iwe success kama hii ya mwana hip hop mwenzie Casper? What's wrong? Najua hakuna tatizo wala hakuna excuse anza sasa mzawa...! Mbali na kuwa unamudu kuwa Jeshi la mtu mmoja pia una watu kibao wako radhi kukusport emcee unae yule mshkaji wako Andunje wa mkasi anaweza kupledge allegiance kwa kazi ya kupiga domo na promo ya online na offline hata kwa kuvolunteer tu. Kuna yulee muuza bucha anaweza akatokea kuongeza recipes zaidi jukwaani... Na yule mwanao mtu wa Manchester mwenye stress Dunia Mzima kwa sababu ya team yake mbovu mwana FA. E.t.c concert yako moja tu ya nyagosha unalegeza mwili magetoni for half of a year kwa mafanikio unless ukimanga manga ndio utakujua kwanini hata Yesu alipaa mwenyewe mbinguni kwa mshua wake na akawaacha masela wake Duniani wakomae kimpango wao. Achana na Clouds ni opportunist tu wale. Cèst la vié..... If you can't take care of yourself no one will take care of you Fareed!?

Huwa nakuangalia unavyorusha Mapumbu na akina sholo mwamba kwenye coaster ya fiesta mnaelekea Nangwanda Sijaona kumfanyia kazi Ruge and his company nabaki najisemea tu huyu jamaa ana mshumaa afu anauwashia chini ya Meza ndio maana hata yeye haumuangaziii aione nguvu yake. C'mooon Fareed wake up now... Act now.. Market yako ni kubwa sana hapa bongo na hivi siku hizi unakichafua na live band hata wabunge kibao wanafeel rhythm yako basi tu wanajikaza kisabuni kutokweka hisia zao wazi.., Do something ili usije kurithisha watoto umaskini baadae.

Inashtua sana mazee, Babu Tale anasisitiza jamaa hana hata ndinga? Haitoshi akaongeza jamaa analelewa. wakati kihualisia mziki wa Fareed ni mwingi na mkubwa sana, possibly inaweza kuwa ni propaganda za Tale maana kwenye vita huchagui silaha ya kumtandika nayo adui yako lakini tunajua AY, FA wako poa ila Fid Q bado hajafaidi mziki wake kihivyo.. Wakuu mnafikiri Fareed anakosea wapi ili kutengeneza hela zake from music? Tujadili kwenye hii dimension labda anaweza kupelekewa Mawazo yetu na yakamsaidia kiaina. He is good dude.. He deserves something good in his life.

Fareed stuka.... Game imenuka... Kujitegemea ndo mzuka.

Don't hate the game... Hate the player.

I love you bru Fareed..!
 
Tukutane kwenye tovuti yetu ya kumuinua kubanda...

IMG_5820.JPG
 
Miongoni mwa thread bora nlizosoma mwaka huu.Japo kuna mapungufu pia katika hii thread ila meng yanampa njia Fareed ili aweze kuutumia muda wake vizur.Tatzo wasanii wengi wanaona bila redio flan au tv hawawez kuhit mjn.Hawawek nguvu kubwa kwenye social media.Ila ndipo kwenye mafanikio kuliko redio.Mfano mm nna miez kama 10 sijawah kutune radio yoyote ili nsikilize muzik au habar sikumbuk.Kama anaptia humu ajifunze hapasw kuwa na team ila anapaswa awe mtoa huduma.Miongon mwa wasanii nnaowakubal AY.Jamaa anajielewa sana sio zezeta kama mengne...
 
Natamani nichangie juu ya huyu mshikaji lkn acha tu,nita mface binafsi ,ingawa najua huwa anapitaga humu
Miongoni mwa thread bora nlizosoma mwaka huu.Japo kuna mapungufu pia katika hii thread ila meng yanampa njia Fareed ili aweze kuutumia muda wake vizur.Tatzo wasanii wengi wanaona bila redio flan au tv hawawez kuhit mjn.Hawawek nguvu kubwa kwenye social media.Ila ndipo kwenye mafanikio kuliko redio.Mfano mm nna miez kama 10 sijawah kutune radio yoyote ili nsikilize muzik au habar sikumbuk.Kama anaptia humu ajifunze hapasw kuwa na team ila anapaswa awe mtoa huduma.Miongon mwa wasanii nnaowakubal AY.Jamaa anajielewa sana sio zezeta kama mengne...
 
Fid Q ni Genius, ila naona mwenyewe anataka kujifunga na tatizo lake haamini ktk uwezo wake na wasanii wengi naona wanataka kujifunga ktk upande fulani, hii itawaumiza wao na hata kuigawa industry ya music.

Hii fursa ya matamasha mengi(Wasafi, Komaa Concert, Fiesta), wanatakiwa waitumie vizuri ili kutunisha vipato vyao, wanatakiwa wawe kama service provider kwa haya matamasha na wasikubali kuwa mashabiki, swala la ushabiki waachie waandaaji wa matamasha.

Alafu naona sasa hivi Kuna vuguvugu la wasanii kuandaa show zao mf Vanessa na Jux, Kiba na label yake, Wasafi hii ni kitu kizuri kwani itawasaidia kiuchumi. Ila mm natamani Fid Q awe na tour yake ndani amuweke One, Baba Malcom (Niki Mbishi) , Singasinga (stereo), mimi naamini watafanya vizuri.
 
Wote mnaochangia mko vzr ,kuanzia mleta Mada hadi hii comment, km umewahi kukaa na Fid Q utamjua vzr

Fid Q,ana project kibao ,yaani kibao tena za maana tatizo lake kujiamini kupita kiasi,kutowaamini watu,kuchagua aina ya watu wa kufanya nao kazi

1.Fid Friday TV show
2.ujamaa hiphop darasa every Saturday
3.Fid on Thursday show and Tour

Alikua na project ya vitabu na ubalozi wa US

Ukikaa na Fid ndio utajua tatizo lake
Na kwann hizo project zote zimekufa au kusuasua mpk sasa
Fid Q ni Genius, ila naona mwenyewe anataka kujifunga na tatizo lake haamini ktk uwezo wake na wasanii wengi naona wanataka kujifunga ktk upande fulani, hii itawaumiza wao na hata kuigawa industry ya music.

Hii fursa ya matamasha mengi(Wasafi, Komaa Concert, Fiesta), wanatakiwa waitumie vizuri ili kutunisha vipato vyao, wanatakiwa wawe kama service provider kwa haya matamasha na wasikubali kuwa mashabiki, swala la ushabiki waachie waandaaji wa matamasha.

Alafu naona sasa hivi Kuna vuguvugu la wasanii kuandaa show zao mf Vanessa na Jux, Kiba na label yake, Wasafi hii ni kitu kizuri kwani itawasaidia. Ila mm natamani Fid Q awe na tour yake ndani amuweke One, Baba Malcom (Niki Mbishi) , Singasinga (stereo), mimi naamini watafanya vizuri.
 
Maamuzi mazuri huegemea maarifa brother fid sanuka, mpk hapa ni wazi kuwa walimwengu wa sasa sio rahisi kutoa ushauri unao jenga kama alivyofanya mleta mada na wachangiaji wote huo ni upendo watu walio nao juu yako na kukuona unafika mkali...usiwe mtu wa kupelekeshwa moja ya mistali yako inasema ktk nyimbo yako "
tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga
ukishindwa kujiendesha ujue mwenyewe tu ulipenda"
 
Good day Fareed Kubanda!

Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu bila kujalisha rika tunakuchukulia kama the instrument of hip hop in Tanzania and East Africa in general. Sijui kama unalijua hili?

Anyways!, Unajua hela ina thamani sababu imetengenezewa "scarcity" ( uhaba) wa kutopatikana kirahisi na hata nyie watu wenye brandy kubwa mjini mnapaswa kuheshimu sana brandy zenu na kujitengenezea scarcity ya kutoonekana kwenye majukwaa flani ya kindezi ili kutengeneza appetite ya watu kuwaona hata kwa bei kubwa once mkilaunch project zenu za binafsi.

Maana life cycle ya music iko kama mfano wa kukidunda kitenesi kwenye chumba chenye ceiling board.. Ukidunda chini kwenye sakafu kitenesi huwa kinaenda juu na kinakutana na ceiling board then kinarudi tena chini. Iko hivi ukifanya music kuna time unafika kwenye ceiling board then you won't go anywhere kinachofuatia ni kurudi chini na kupisha generation nyingine mpya itawale. Juma Nature ungemwambia miaka ile ya 2005's kwamba itafika time mbeleni huko, Watanzania hawatamwelewa tena anachoimba na hataweza kukaa kwenye top 10 yeyote ile hapa Bongo asingekuelewa kirahisi... Mr Nice, Ray C, Ferooz, Daz Baba na manyalali/Matycoon wengine kibao wa mziki..hawaamini kinachotokea kwa sasa baada ya muda kuwaengua kwenye game automatically na wao wanajaribu kurudi kwenye game lakini unfortunately hakuna anaewaelewa tena na muda unawakatalia. Sasa tukubaliane tu ni asili ya mziki kuwa na cycle yake ya kuondoa old artist na kuleta wapya uncontrollably. Wewe Fid Q, Mungu amekupa very charismatic and undeserving favor ya kukaa muda mrefu kwenye game lakini bado hujaitendea haki hii favour Fareed.

Kwa Dunia ya sasa ilivyo mwenye nguvu ya social media ndie mbabe na sio mwenye radio tena kwani takwimu zinasema hadi 2020 zaidi ya 80% ya Watanzania watakuwa na access ya smartphone hivyo technically market inahamia digital na sio kwenye maredio ndio maana mtoto wa kike Hamisa Mobetto alikuwa na kinyimbo chake kisichoeleweka then katafuta scandal na platform ya Mange kaikeep busy Tanzania kumfuatilia alipoona wote wamekuja katoa ngoma yake na inatrend ndio mamba moja trending huko YouTube kwa sasa.. Kaijua nguvu na fitna ya Internet and digital marketing. Kaitumia na inamnufaisha.

Lakini hii namaanisha nini? Kwa sasa Clouds FM wanakuhitaji zaidi Fareed kuliko wewe unavyowahitaji wao hivyo isikutishe just incase ukiamua kuwatosa kwenye show zao they won't affect you musically sababu una fan base ambayo bado ina appetite na trust na wewe coz nahisi hofu yako inaweza kuwa ni kukosa platform ya wewe kufanyia advertising zako maybe ndio maana unakuwa mtiifu kwao hadi kufikia hatua ya kuingizwa kwenye vita ngumu na taasisi ilhali wewe huko solo then hawaishii hapo Clouds na wao bila aibu wanakuweka kwenye kundi la cheap artist na kukupandisha jukwaa moja na akina Budagala na Nkunda Star. This is unfair and injustice kwa experience, talent, ability na potential ya world class kama yako hupaswi kuimba kwenye hizo summer jam za mediocre artist. Remember this "you don't get paid for the hour, you get paid for the value you bring into hours" naamini kabisa Clouds FM hawajawahi kukulipa kulingana na value yako na hawawezi kufanya hivyo kamwe kutokana na talent package yako unayomiliki. Hakyamungu!!!

Wanakulazimisha utokee dirishani kwa WCB then kesho utake tena kuingilia mlangoni kwa WCB? Itakughalimu!

Clouds FM wanaishi kibepari wanakutumia kwa ajili ya maslahi yao kwa malipo ya kishkaji then wakimaliza wanakutupa chooni kama condom vile na kwa kukuangalia tu wewe jamaa unaishi kijamaa na love sana na hii ndio mistake yako kubwa and you will have to pay for it someday. 50 Cent wakati anaanza kuhustle kuuza drugs street moja kati ya rules number one ya kazi aliyopewa na mentor wake ilikuwa inasema hivi "in this business don't show love.. Love will get you killed" wewe jamaa una roho nzuri na Upendo sana wakati nature ya business yako haitaki love wala ushkaji kwa watu ambao hawawezi kutoa love in response kipindi utakapokuwa kwenye magumu all they can do watakuteta kwamba haukuutumia muda wako vizuri na kama jana mshkaji wako babu Tale kauambia umma hauna gari na unalelewa!? Hii Yote inatokana na uzembe wako wa kutojua namna ya kuchukua hela zako mapeeema... Najua hauitaji marafiki kutokana na kilichotokea kwa Babu Tale majuzi na pia sababu huko aware muziki ni professional ya muda mfupi sometimes.

Ni sawa na soka tu..! Wewe unadhani kwanini wachezaji wa mpira wanalipwa hela ndefu? Ni kwa sababu kazi yao ni muda mfupi unakaa kwenye peak kuanzia ukiwa na miaka 20 hadi 33 then kinachofuata unarudi veterani au wanakuuza China kwa mkopo. That's why nasema una bahati sana bro kukaa kwenye peak kwa muda mrefu kwenye soka hauna tofauti na Paulo Maldini vile. Sasa kwako kama best hip hop artist unaekubalika na kila rika na mwenye fan base kubwa zaidi Bongo, please!! utendee muda huu mfupi haki ya kuchukua hela zako kwetu sisi fans wako mapeeema maana bado tuna appetite na wewe usingoje itokee siku moja hata ukiperfom kwenye tamasha la bure la dume Condom bado hatutaweza kuacha mitakasi yetu tuibuke. Tutakususia sio kwa roho mbaya bali muda utakuwa unakuhukumu.

Kwanza nadhani unamjua Casper Nyovest kutoka SA! Huyu mzawa naamini bado hawezi kufit lock zako za hip hop you are way more far than him potentially and Musically but kuna kitu jamaa kafanya mwaka ulioisha its history and world record regarding SA.. Mshkaji alijipekecha kimkakati akaanzisha hashtag yake ya twitter ikisema #FillFNBstadium to support SA music for Casper. Then Abracadabra!!! Turn out ikawa kubwa. Akaengineer mambo tamasha likakamilika na Mungu sio sholo Mwamba, wakanunua tickets almost watu 70,000 kwenye stadium akavunja record ya mwana hip hop na msanii wa kwanza kujaza uwanja mkubwa SA ambao Justin bieber, Rihana, Neyo, Chris brown hawakuweza kuujaza previously. Baada ya hapo jamaa amepunguza sana ukali wa maisha saana.

Hii ikanifikirisha kwamba Kwani brother Fareed hawezi kulaunch movement yake na iwe success kama hii ya mwana hip hop mwenzie Casper? What's wrong? Najua hakuna tatizo wala hakuna excuse anza sasa mzawa...! Mbali na kuwa unamudu kuwa Jeshi la mtu mmoja pia una watu kibao wako radhi kukusport emcee unae yule mshkaji wako Andunje wa mkasi anaweza kupledge allegiance kwa kazi ya kupiga domo na promo ya online na offline hata kwa kuvolunteer tu. Kuna yulee muuza bucha anaweza akatokea kuongeza recipes zaidi jukwaani... Na yule mwanao mtu wa Manchester mwenye stress Dunia Mzima kwa sababu ya team yake mbovu mwana FA. E.t.c concert yako moja tu ya nyagosha unalegeza mwili magetoni for half of a year kwa mafanikio unless ukimanga manga ndio utakujua kwanini hata Yesu alipaa mwenyewe mbinguni kwa mshua wake na akawaacha masela wake Duniani wakomae kimpango wao. Achana na Clouds ni opportunist tu wale. Cèst la vié..... If you can't take care of yourself no one will take care of you Fareed!?

Huwa nakuangalia unavyorusha Mapumbu na akina sholo mwamba kwenye coaster ya fiesta mnaelekea Nangwanda Sijaona kumfanyia kazi Ruge and his company nabaki najisemea tu huyu jamaa ana mshumaa afu anauwashia chini ya Meza ndio maana hata yeye haumuangaziii aione nguvu yake. C'mooon Fareed wake up now... Act now.. Market yako ni kubwa sana hapa bongo na hivi siku hizi unakichafua na live band hata wabunge kibao wanafeel rhythm yako basi tu wanajikaza kisabuni kutokweka hisia zao wazi.., Do something ili usije kurithisha watoto umaskini baadae.

Inashtua sana mazee, Babu Tale anasisitiza jamaa hana hata ndinga? Haitoshi akaongeza jamaa analelewa. wakati kihualisia mziki wa Fareed ni mwingi na mkubwa sana, possibly inaweza kuwa ni propaganda za Tale lakini tunajua AY, FA wako poa ila Fid Q bado hajafaidi mziki wake kihivyo.. Wakuu mnafikiri Fareed anakosea wapi ili kutengeneza hela zake from music? Tujadili kwenye hii dimension labda anaweza kupelekewa Mawazo yetu na yakamsaidia kiaina. He is good dude.. He deserves something good in his life.

Fareed stuka.... Game imenuka... Kujitegemea ndo mzuka.

Don't hate the game... Hate the player.

I love you bru Fareed..!
Bila shaka mazuri atayachukua na mabaya hatakuachia mwenyewe
 
Pamoja na kuwa na kipaji kizuri, FID Q ameshindwa kujua thamani yake, yeye pamoja na wasanii wengi wameshindwa kutumia social media kwa manufaa yao, vingi wanavyo-post kwenye page zao wala havihusiani na sanaa zao, niliwahi kuwasilana na msanii mmoja nikamwambia katika followers laki 7 ulionao, tengeneza project(album) uwafikie watu laki moja tu kwa mda wa miezi 3, majibu aliyonipa nikajua bado yuko usingizini na hawezi kuamka, na kitu kingine wamekosa nii umoja.
 
Back
Top Bottom