OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwa wale mnaopenda kuelewa na kuchunguza mambo, hasa hasa kama ulisoma physics advance,
Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu, hii ndio starehe yangu, ila sikuwahi kujua kuwa PHYSICS ni somo tamu sana maana nilikuwa nikilisoma kwa kukalili ilimradi nifaulu tu,
Basi juzi kati nimemkuta dogo mmoja ameshikilia kitabu cha physics maarufu kama ABBOT (niliwahi kukitumia enzi hizo ila kimagumashi kwa kukalili na kusolve vijimaswali) nilimuomba akaniazimisha nkawa nmehamasika kujua betri inatengenezwa vipi, na inafanyaje kazi,
Aisee nmejikuta nasoma karibia kitabu chote kuanzia current electricity, wave motion, light, electromagnetism n.k
Dogo kachukua kitabu chake nkaona isiwe tabu acha nizame mtandaoni nkapakua kitabu kimoja kinaitwa UNIVERSITY PHYSICS AND MODERN PHYSICS,
Nnmeanza na topic inaitwa ELECTRIC CURRENT yaani wakuu it is very interesting kitabu kinanihamasisha nisome zaidi na zaidi 😄😄😄 alafu kumbe kutengeneza umeme au betri sio kazi ngumu endapo utakuwa na material kidogo pamoja na kemikali,
Wakuu hebu jaribuni kusoma tena physics it is very interesting.