Wakuu physics inatanua ubongo

We have the same passion bro.. Hapa Bongo kuna Chuo gani kinatoa angalau cheti cha sheria .. masomo kwa Njia ya Mtandao.
Hachana na mavyuo ya bongo,ma lecturer wana wivu sana walimdisco Kadege yule mbabe wa Linguistic alipojaribu kusoma Law pale UDSM.Kama unataka kusoma certificate yapo mavyuo kibao South Africa au nje ya nchi yanatoa mpk online certificates.
 
Mkuu hebu kidownload hicho kitabu usome it is very interesting
 
We have the same passion bro.. Hapa Bongo kuna Chuo gani kinatoa angalau cheti cha sheria .. masomo kwa Njia ya Mtandao.
1.Theophilo Kisanji university
2.Tumain University
3.Kampala International University
4.Open university of Tanzania
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli maana inawezekana mwalimu mwenyewe kameza madude tu sasa unazani utaelewa kweli, pia wapo watu wanatoka na A za phys hao wanaelewa sio kumeza
 
Teenaaah mnakua na nongwa class lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nongwa zinatoka wapi advance wakati hata muda wa kusoma hautoshi? Unatuonea. Tena huwa tukadiscuss na kusolve maswali na watu wote.
 
Nongwa zinatoka wapi advance wakati hata muda wa kusoma hautoshi? Unatuonea. Tena huwa tukadiscuss na kusolve maswali na watu wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kila mwanafunz yuko hivyo, wengne nongwa hatareeh,
 
Kweli maana inawezekana mwalimu mwenyewe kameza madude tu sasa unazani utaelewa kweli, pia wapo watu wanatoka na A za phys hao wanaelewa sio kumeza
Yes ni kweli.
 
Ongera Sana kwa kuwa motivation speaker wa physics hukiachana na yule wa matikiti πŸ˜€ jitahidi uwe kama Albert Einstein wa kibongoπŸƒπŸƒπŸƒ
 
AU SIOO....MKALIII...We endelea kusoma hiyo physx
...wenzioo tunasoma RICH DAD'S CASHFLOW QUADRANT......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…