Wakuu physics inatanua ubongo

AU SIOO....MKALIII...We endelea kusoma hiyo physx
...wenzioo tunasoma RICH DAD'S CASHFLOW QUADRANT......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
....
Wenzako hizo tushasoma sana
1. Rich dad poor dad
2. Why we want you to be rich
3. Cash flow quadrant
4. Why A student works for C student and B student works for the government
5. Who took my money
6. Business school for those who likes helping people
Vyote hivi nimesoma, baadhi nmevirudia juzi juzi.
 
Good....boee..........
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
kama unataka kuelewa bulb inawakaje, umeme unafikaje kwenye bulb n.k rudi usome tena utaenjoy

Ni dhahiri ulipitisha pitisha macho kwenye Modern Physics enzi hizo..

Sasa endelea kujisomea kwa deep zaidi, uzuri hauna stress za pepa kama enzi hizo
 
Tafuta na karmasutra final edition ukimaliza hicho unakua enlightened being
 
Ni dhahiri ulipitisha pitisha macho kwenye Modern Physics enzi hizo..

Sasa endelea kujisomea kwa deep zaidi, uzuri hauna stress za pepa kama enzi hizo
Enzi hizo nilisoma lakini mechanism ya bulb kuwaka haikuwepo
 
Tafuta na karmasutra final edition ukimaliza hicho unakua enlightened being
Mzee mimi kamasutra nisome ya kazi gani? Wakati physiology na anatomy nilisoma

Labda unipe kitabu kingine ila sio hicho
 
Uzuri ukisoma ukubwani unashangaa sana kwanini nilikuwa naona ugumu wakati wa sekondari
Sasa hapo ndio unaelewa kuwa wale walioweza kuelewa walikuwa na uwezo mkubwa wa kukariri sababu hakuna practical yoyote inafanyika mashuleni zaidi ya pendulum.
Oscilloscope tulikuwa tunaiona kwenye vitabu tu.
Mimi baada ya kuamua kuanza upya ndio nilipopenda matumizi ya physics na engineering kwenye tiba Kama huo umeme unawezaje kutumika kuwa matibabu, au mionzi ya mwanga inawezaje kutumika kutibu, kuchunguza au kupima magonjwa mbalimabali.
Raha sana, possibility are endless
 
Mzee mimi kamasutra nisome ya kazi gani? Wakati physiology na anatomy nilisoma

Labda unipe kitabu kingine ila sio hicho
Umesoma physiology anatomy ila kamasutra is more spirutual soma hio ukimasta ukikufa unakua mzimu au utataka upumzike kwa amani baada ya kutangulia?
 
mm nlkuwaga so mjuaj saaana wa physics, bt baada ya kumaliza shule i mean muda huu nlpojarbu kupitia vitabu aseee nmeona bonge la kamsererekoo nkaanza kujishangaa yan vtu vdg t nlkuwa nashindwa vip luvisolve na kuvielewa? kuna ile topic ya electromagnetism, kuna Wave& Radiactivity yaan now naona bonge la utoto na naelewa zaid concepts nying na kuinjoy...hapa nikipata vifaa nafunga radio yangu mtaani[emoji23][emoji23][emoji23]...then tegemeeni nakuja na satellite yangu bila kusahau bom la atomic hili nitalizindua 2025 wakizngua wale mabwana wa upande ule ktk sanduku la kura[emoji41][emoji41]..i mean nitageuza white genge(house) kuwa hiroshima&nagasaki within a second[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nipo kwnye maandaliz yakuandaa kwanza satellite ndogo,mengine yatafuata soon
 


Kutanuka kwa ubongo ni madhara kwenye ubongo kama jinsi kutanuka kwa moyo ni madhara kwenye moyo. (Health effects).
 
Nimesoma Sana vitabu hata hicho kilikuwepo advance pamoja na University physics kimsingi nimeona watu kutengeneza airbus Inabeba watu 850 na wengine kushindwa kuunda hata jembe la kulimia kujipatia hata chakula wenyewe. Na maprofessor wao kusaka teuzi sioni

Sioni Kama kunashida kwa mwanadamu mmoja kumbagua mwingine
 
Kupata three sio shida ni kuielewa mbona waliopata A wengi Sana ila sio kuelewa kufaulu si kusolve calculation tu
 
"Physics sio makalio kwamba kila binadamu anayo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemkumbka sir wa somo husika advance. Lol
Mi pia mwalimu wangu aliitumia hiyo... Baada ya hapo unakuta anawatia moyo kuwa mnaweza, 😁😁
 
Stafuta kitabu soma zaidi ujifunze usiishie kugoogle tu


"Neuroplasticity" ndio "brain expansion"??---- na wewe uliyeishia kusoma vitabu tu (sio kufundishwa) hebu nipe jibu!!.

Hilo swali nimekupa "mimi niliyeishia" ku google tu.🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…