Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Wakuu habari zenu. Nina sh 6m naulizia mwenye Toyota crown royal saloon anauza ameichoka aweke picha na namba ya simu tufanye biashara
Au kama hata mwenye Mark X aweke namba
Asante
Chukua altezzaWakuu habari zenu. Nina sh 6m naulizia mwenye Toyota crown royal saloon anauza ameichoka aweke picha na namba ya simu tufanye biashara
Au kama hata mwenye Mark X aweke namba
Asante
Mkuu, si ukauchukue tu....huyo jamaa hana ubavu wa kukuzuiaAisee nimetamani huo ukuta vibaya mnooo