Wakuu shukrani sana hatimaye nimejitutumua na kumtongoza yule binti aisee

Wakuu shukrani sana hatimaye nimejitutumua na kumtongoza yule binti aisee

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Aisee wakuu shukrani sana aisee hatimaye yule demu niliyewaomba msaada ya kwamba nataka nimtongoze na niliwaomba mnisaidie mistari jinsi ya kumtongoza aisee nimeweza kumtongoza ila hajanipa jibu mpaka

Sasa hivi ameniambia akitulia atanipa jibu wakuu kwahiyo wakuu nipo hapa nasubiria jibu na shukrani sana kwa walio nisaidia jinsi ya kutongoza aisee 🙌💊💊
 
Ila vijana 😅

giphy.gif
 
Back
Top Bottom