Wakuu tablet in misbehave shida iakua nini?

Wakuu tablet in misbehave shida iakua nini?

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu kama kichwa kilivyo jieleza hapo juu inshort nashindwa kuelewa tatizo hili yaani utakuta button za chini (yaani home, background, back) ambazo ni touch screen zinajitouch na sanyingine zinagoma kusense nimejaribu kurestart bado, nimereset bado, hard reset nayo bado nashindwa kuelewa tatizo litakuwa nini wakuu.

Tablet aina ya (smartlife within reach model MB1001)
 
Tablet au kishikwambi? Mwalimu eleweka usaidiwe tatizo lako
 
Pia ili usaidiwe unatakiwa uelezee tablet n aina gani na specification zake ila tukutumie drivers mkuu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom