Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

Content za wadada mitandaoni ni za kusikitisha sana! Wengi wanayofanya kwasasa watakuja kujutia huko mbele ya safari wakishafika 30+.....Yaani kila sehemu ni kutingisha makalio tena dera linaingia kabisa mtaroni ...nykoo wee!!
 
nasikia huko tktk kuna wadada wao ni kukata unoo frm asubuhi to asubuhi
Wanakuambia taptap likelike tuma bandooo 😄
tuma hela 😄

ova
Sijawahi kutumia tiktok kwa sababu hiyo. Kipindi kile inaanza kupata umaarufu video zote zilizokua zinadownlodiwa kutoka tiktok zilikua mambo hayo hayo tu unayoyaongea. Nikaupuuza huo mtandao
 
Wakuu tiktok mbona kwangu siipati ghafla? Nilikua naitumia kwa VPN ilivyofunguliwa nikaitumia bila VPN kwa siku kama 2 hivi then ghafra imekua unavailable hata nikitumuaVPN bado haikubali. Nikufungua app inaandika hivi:-

"Our services are not available in your country or region"
 
Back
Top Bottom