Hatari sanaNipo Lagos nao usiku inafungiwa watu wananyanduana live na ku stream.
Sijawahi kutumia tiktok kwa sababu hiyo. Kipindi kile inaanza kupata umaarufu video zote zilizokua zinadownlodiwa kutoka tiktok zilikua mambo hayo hayo tu unayoyaongea. Nikaupuuza huo mtandaonasikia huko tktk kuna wadada wao ni kukata unoo frm asubuhi to asubuhi
Wanakuambia taptap likelike tuma bandooo π
tuma hela π
ova
Nimeona huu uzi saa hii nikaenda chap kujiridhisha, Mbona inapatikana vizuri tu?Swali langu TikTok imepigwa Total Ban?!
Hawa wanataka kutiwa, kama ni wa kienyeji fresh zaidi. Oya mzee usharudi toka kule wa dutch?nasikia huko tktk kuna wadada wao ni kukata unoo frm asubuhi to asubuhi
Wanakuambia taptap likelike tuma bandooo π
tuma hela π
ova
Bado kamandaHawa wanataka kutiwa, kama ni wa kienyeji fresh zaidi. Oya mzee usharudi toka kule wa dutch?
Tiktok sip ile Tena ya zamani nilishangaa kuingia tiktok mwezi uliopita nikaona habari zinazotrend ni kudai katiba mpya na maandamanoNikimwonaga mwanaume anatumia TikTok huwaga nawazaga sana mkuu.