The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Lumbila kule nakumbuka nilipanga room baada ya kunifukuza shuleDuh ketoboma siku nyingi sana,tulikuwepo wazee wa kuzamia lumbila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumbila kule nakumbuka nilipanga room baada ya kunifukuza shuleDuh ketoboma siku nyingi sana,tulikuwepo wazee wa kuzamia lumbila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdada alkua ananshangaa sana enzi hizo tumefika chuo
Mtu toka form one nipo uboyzin mpaka six ahaha [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msinikumbushe mademu wa Loleza.
Mademu wana nyege hadi wanaumwa ugonjwa wa kucheka, Iyunga sekondari, shule ya wavulana watupu , vijana wana ugwaduuu, akiingia mwalimu wa kike, daraja Zima wanasimamisha minara yao
Magepu yalnifundsha magoli ya mikono 😀😀😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magepu tu hayo baharia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magepu yalnifundsha magoli ya mikono [emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
Uboyzn enzi hizo watu wanapiga puli live live wanashndanishwa nani itaruka mbali
Hahaahaha
Ungenipigia simu ASAP nije nikuokoe.Duh! Hapana aisee kwanza kuna mmoja alikuja room sikumoja nimenyali nisoma peke yangu. Alinisumbua kidogo nilie kwakweli sikuwa namuona kama binadamu wa kawaida. Nilimuona kama jini vile
Msinikumbushe mademu wa Loleza.
Mademu wana nyege hadi wanaumwa ugonjwa wa kucheka, Iyunga sekondari, shule ya wavulana watupu , vijana wana ugwaduuu, akiingia mwalimu wa kike, daraja Zima wanasimamisha minara yao
Aisee mi nilifika A'level nikiwa bado fala kabisa. Kuna majamaa walikuwa ni mashoga na sikuwa najua. Yaani ndo kwa mara ya kwanza naona mwanaume anaAct as a girl.
jifunze kuandika kwanzaEbu ngoja kwanza...natoka nje ya Mada,Hivi akuna chuo kikuu cha single gender?
kalaliche unamfahamuWanangu wa Ndanda Boys piga keleleeee
Mimi nilisoma boys at A level tu na ktk level Hii kila mtu asha experience utamu wa bao hata kwa mkono.
So hayo mambo ya ushoga labda single schools za primary wasiojua km mwanaume anapanda sio kupandwa.
Na hii school naipenda kuliko taasis zote za elimu nilizopitia coz of freeeedom
Ikoje hio ?Kuchapwa na katambuga night
kwa iyo mkuu umeanza kuwachakata ukiwa chuo da umekosa mambo matamNimesoma boy's school for six years! I guess its a best place to be. You have all the freedom you need. Otherwise nahisi nimekosa bahati ya kubambia nikiwa sekondari!
Eeh bhana. Nimekosa mengi sana jamani. Sasa unani compesate vipi?kwa iyo mkuu umeanza kuwachakata ukiwa chuo da umekosa mambo matam
Wewe umeanza kuchakatwa lini mkuu ?kwa iyo mkuu umeanza kuwachakata ukiwa chuo da umekosa mambo matam
ha ha ha ha ha haWewe umeanza kuchakatwa lini mkuu ?
Bado ?ha ha ha ha ha ha
Huu ni uzi maalum kwa wazazi wa sasa na wa baadae kujulishana kuhusu faida na hasara za shule za sekondari ambazo zina wanafunzi wa jinsia moja.
Hivyo mdau tunapenda kushirikishana mawili matatu ya shule hizi ili wazazi wanapopeleka watoto wao wawe na informed decision.
View attachment 1162664
Naomba ku share nanyi mitazamo ya watu kadhaa walio nje ya bongo juu ya same sex school
1. Very few girls that go through all girls schools come out normal. The majority are 'high key' crazy, and sadly are the only ones who end up benefiting the least long term from their own special education. Gender isolation leads to unwholesome education
2. Most are either always awkward around the opposite sex or freakishly horny around the opposite sex
3. That's a school you will attend and always finding yourself having issues with opposite sex.... Either you are obsessed with them or the other way round... Mixed is full of exposure and experience
4. Breeding places for lesbians and gays esp. Boarding schools.
Mimi mzaramo halisiKichwa cha habar kiswahili lakin content kingereza.... We n mswahili eehh