kisana kiki
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 266
- 287
Ile SHOW yenye historia na kubwa kuliko, leo inafunga msimu wake huu wa mwaka 2018 na MOJA KUBWA AKA Grand Finale!
Kwa sababu Hawa MAWINGU Siku zote huwa hawabahatishi kwenye mambo Yao especially ubunifu, tunategemea kukutana na SHOW ya TAIFA na kuonyesha kwamba Mkubwa Mkubwa tu...
Ngoja nilichange Buku 8 langu na nilitupie kene TIGO PESA then mapema nizame pale Fiestani!
Tunaojiandaa kwenda Mida mida tupatane hapa [emoji4][emoji4][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]