Wakuu Tunaojiandaa kwenda Kwenye MOJA KUBWA ya MAWINGU FM tukutane hapa[emoji123][emoji123]

kisana kiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
266
Reaction score
287
Ile SHOW yenye historia na kubwa kuliko, leo inafunga msimu wake huu wa mwaka 2018 na MOJA KUBWA AKA Grand Finale!

Kwa sababu Hawa MAWINGU Siku zote huwa hawabahatishi kwenye mambo Yao especially ubunifu, tunategemea kukutana na SHOW ya TAIFA na kuonyesha kwamba Mkubwa Mkubwa tu...

Ngoja nilichange Buku 8 langu na nilitupie kene TIGO PESA then mapema nizame pale Fiestani!

Tunaojiandaa kwenda Mida mida tupatane hapa [emoji4][emoji4][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
aiseeh hivi fiesta bado ipo?
lini inafanyika
 
Mbona mna mchosha mwenzenu ,show leo viwanja vya Posta Kijitonyama.
 
Ile SHOW yenye historia na kubwa kuliko, leo inafunga msimu wake huu wa mwaka 2018 na MOJA KUBWA AKA Grand Finale!

Kwa sababu Hawa MAWINGU Siku zote huwa hawabahatishi kwenye mambo Yao especially ubunifu, tunategemea kukutana na SHOW ya TAIFA na kuonyesha kwamba Mkubwa Mkubwa tu...

Ngoja nilichange Buku 8 langu na nilitupie kene TIGO PESA then mapema nizame pale Fiestani!

Tunaojiandaa kwenda Mida mida tupatane hapa [emoji4][emoji4][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
Anakuja msanii gani mkubwa au wakina Joh Makini?
 
Back
Top Bottom