Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa
Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa
Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya mdau akisema kuna hospital ya wachina hapa dar iko vizuri kwa huo ugonjwa
Naomba anaefahamu zaidi atolee ufafanuzi au kama kuna sehemu nyingine anielekeze, namuonea huruma ndugu yangu kwani huu ugonjwa umechukua wengi nikishuhudia kwa macho yangu
Natanguliza shukrani wakuu