Huko kwa tiba mbadala asee kwa haya magonjwa sio salama sana kwa maoni yangu nashauri aendelee kufuata ushauri wa kitaalamu na kujitahid kuishi health promotion lifeWakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa
Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa
Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya mdau akisema kuna hospital ya wachina hapa dar iko vizuri kwa huo ugonjwa
Naomba anaefahamu zaidi atolee ufafanuzi au kama kuna sehemu nyingine anielekeze, namuonea huruma ndugu yangu kwani huu ugonjwa umechukua wengi nikishuhudia kwa macho yangu
Natanguliza shukrani wakuu
Bahati mbaya sijawahi kupata Ushuhuda kutoka kwa mtu wangu wa karibu ila nikiwa nyumbani TZ napenda kwenda pale kujifunza mambo mbali mbaliUna ndugu yako aliewahi kupona huko mkuu
Sometimes imani inaua yaani uamini umepona kwa maji ya upako wakati ukipima ngoma bado inasoma? Mkuu sikupingi ila kwa mwamposa ni big noBahati mbaya sijawahi kupata Ushuhuda kutoka kwa mtu wangu wa karibu ila nikiwa nyumbani TZ napenda kwenda pale kujifunza mambo mbali mbali
Imani ndio nguzo kuu ya maisha
Asijaribu kabisa huo ujinga wa mwamposa...aendelee na dawa zakeKama yupo fit Amshukuru Mungu na aendelee kutumia dawa.....
sema mwamposa nae ana mkesha leo mlete...