Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
πππHakikisha una mahusiano na barmaid...siku ukikosa hela utakujwa pombe za buree...
Kuna wazee wenye mvi wasio na akili.Kuna mzee mmoja alinishauri. na kuniambia; kijana, sikiliza ushuri wangu, kwa sababu nimekula chuvi nyingi; katika maisha yako ya mapenzi:-
Una akili nyingi sana!Naona wengi mnekurupuka, mtoa mada hajasema ni uhusiano gani. Hajasema kuhusu uhusiano wa kingono. Kasema mahusiano na yanaweza kuwa ni mahusiano ya kijamii. Babu amemshauri vizuri inatakiwa tuwe na mahusiano mazuri na jamii.