Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Namtania tu huyo mzee wa BMWUnamaanisha nini mkuu?Unamaanisha kuwa siwezi kupanda milima yote kwa kutumia D peke yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtania tu huyo mzee wa BMWUnamaanisha nini mkuu?Unamaanisha kuwa siwezi kupanda milima yote kwa kutumia D peke yake?
Mimi sina shida na hii part ya manual,shida yangu ni kuwa je ninaweza kupanda milima yote kwa kutumia D peke yake bila ya kucheza na hizo + and - ?(manual)
Sasa kaka nikitaka ligi na mtu si ninaweka overdrive(OD)?Tofauti ya S na OD ni nini?
Watu wengi wasichokijua ikiwa ni pamoja na wewe ni kwamba S siyo gear ya kukimbia.S ni gear ya kupandia barabara refu na yenye milima midogo yenye kona nyingi lakini katika barabara nzuri au barabara ya kawaida lakini yenye umbali mrefu na yenye konakona nyingi,yaani S ni kama gear namba 3 ndiyo maana huwa inakula mafuta.Watu wengi huwa wanafikiri S ni gear ya kukimbia a.k.a gear ya ligi kitu ambacho siyo sahihi!Gear ya kukimbia haipaswi kula mafuta mengi.Daaaaaaaaah kaka gari sio lazima iwe na option zote. mfano mm gari yangu haina O/D na hizo S
OD ni overdrive hii inafanya Gari kuwa na nguvu/ na spiid na ulaji mzuri wa wese.
Na S ni sport nayo inaongeza uwezo wa gari lakini inatandika sana ngwese maana Gari yenye S pia inasehemu ya Economical ili kupunguza consuptuin ya wese
D inaweza kupanda hadi mti kama gari haina tatizo,Dah!Sijui mimi nina matatizo gani,yaani sitaki kabisa kuiamini D katika kupanda milima mikali!
Kwa hiyo mkuu mlima Sekenke D inapanda fresh kabisa?D inaweza kupanda hadi mti kama gari haina tatizo,
Wewe hiyo milima unayoihofia iko wapi? Ni ile ya wapare na wasambaa?
Tanzania kuna mlima wa kushinda gari kupanda na D?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yako yote unatakiwa ujue ligi ni mafuta mengi, unless gari iwe electric!Watu wengi wasichokijua ikiwa ni pamoja na wewe ni kwamba S siyo gear ya kukimbia.S ni gear ya kupandia barabara refu na yenye milima midogo yenye kona nyingi lakini katika barabara nzuri au barabara ya kawaida lakini yenye umbali mrefu na yenye konakona nyingi,yaani S ni kama gear namba 3 ndiyo maana huwa inakula mafuta.Watu wengi huwa wanafikiri S ni gear ya kukimbia a.k.a gear ya ligi kitu ambacho siyo sahihi!Gear ya kukimbia haipaswi kula mafuta mengi.View attachment 1714496
View attachment 1714755
Kawetere ya mbeya passo ilipanda na D mpaka mwisho! Sekenke ni kijimuinuko tu!!Kwa hiyo mkuu mlima Sekenke D inapanda fresh kabisa?
Kwani kati ya ligi ya gear namba 3 na ligi ya gear namba 5 ni ipi hapo inakula mafuta zaidi?Maisha yako yote unatakiwa ujue ligi ni mafuta mengi, unless gari iwe electric!
Usidanganywe eti gear kwa ajili ya mbio inatakiwa isitumie kiasi kikubwa cha mafuta..
Sent using Jamii Forums mobile app