Wakuu vifurushi kwenye mtandao wa Azam vimekaaje?

Wakuu vifurushi kwenye mtandao wa Azam vimekaaje?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake.

Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable.

Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa?

Natanguliza shukrani
 
sjakuelewa! au wazee wa kuchange uzi washabadili uzi wako..😁
 
Back
Top Bottom