MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Oct 4, 2021 #1 Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake. Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable. Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa? Natanguliza shukrani
Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake. Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable. Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa? Natanguliza shukrani
K Kibwetelo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 732 Reaction score 599 Oct 4, 2021 #2 Mmmh Azam wanamtandao?
M Mtanzatozo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 971 Reaction score 1,165 Oct 4, 2021 #3 sjakuelewa! au wazee wa kuchange uzi washabadili uzi wako..😁