Wakuu! Vipi ili tangazo la Salimu Kikeke na Zitto Kabwe

Wakuu! Vipi ili tangazo la Salimu Kikeke na Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,899
Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya.


=================
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha 'Kasri la Kikeke' cha Crown FM kilichofanyika mwezi Septemba 03, 2024 na kuchapishwa katika mtandao wa YouTube Septemba 04, 2024.

Video imepotoshwa kwa kuwekewa sauti tofauti na iliyokuwepo awali katika video halisi hivyo kupotosha uhalisia. Sauti hiyo imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili Unde. Hata hivyo video pia inaonesha kuwa na madhaifu ikiwemo kuchezacheza kwamdomo ukionekana kuungana na kinasa sauti (microphone) jambo ambalo si la kawaida na halionekani katika video halisi.

Soma zaidi, POTOSHI Video ya tangazo la Salim Kikeke na Zitto Kabwe wanapigia chapuo jukwaa la uwekezaji mtandaoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom