Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
2,084
Reaction score
1,622
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Lete source
 
Nani, lini, wapi, na chanzo cha hbari (source) ni maswali muhimu unapoleta taarifa, vinginevyo taarifa yako inakuwa udaku.
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Kama ni kweli, kuna dalili ya mtu kutumbuliwa..tena bila ganzi....stay tuned!
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Hapa namba tunapoisomea sisi tulifikiri kale kawimbo ni kaupinzani kumbe kanahusika kotekote.
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Wewe ni wa mkoa gani muheshimiwa?naomba mumuelewe mkuu,hataki matumizi mabaya ya fedha,ukweli ni kwamba swala kama ni kuzima mwenge pekee tuache wazime wa Simiyu huko huko.ila maagizo ya ninyi kwenda huko na kuchukua pesa za safari ni nani aliyatoa?
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Rais atatoa neno moja tu anae lalamika aandike barua ya kuacha kazi mara moja uone kama watafanya hivyo.
 
Haya mambo bwana raha yamkute mwenzio yakikukuta ww sijui utasema nini ila ninachokiona mm watanzania wengi wanapenda kuona tunakosa wote ndio maana MTU akitumbuliwa wengine wanafurahi je ungekuwa ww au baba yako ingefurahia? Kweli kila kwenye 4 mmoja kichaa
 
toa chanzo cha taarifa,pia toa mifano hai ya waliolalamika
 
kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source.viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake .
Hao wote wanaolalamika WATUMBULIWE mara moja.
 
Back
Top Bottom