Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolizishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source.viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake .

Kutolizishwa ndiyo kitu gani???? Au una maana ya kutoridhishwa/kutoridhika????? Pamoja na hayo kuna kila dalili kuwa taarifa hii ni ya kutunga tu na haina ukweli wowote....
 
Kulalamikia mbele ya watumishi?! Nilidhani mbele ya vyombo vya habari! Ujasiri huo bado haujatokea kwa kiongozi yeyote wa awamu hii (ukiacha mimi Mapango ya Amboni). Jana mimi nilisema nitaandika barua ya kujiuzulu unafikiri kuna aliyeniunga mkono!? Aaah wapi! Unadhani "kupangiwa kazi nyengine kuzuri!?
 
Siamini kama yupo anayeweza kulalamika hadharani, kama yupo hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yake.
Awatakiwi kulalamika, kama sisi vijana tunaambiwa tuende tukalime na wao waisome namba wauze izo nyumba zao waludishe izo pesa, kikombe cha damu kila mtu kitamfikia kwa muda wake
 
Naomba kuuliza wanajamvi hili swala la kurudisha posho kwa ajili ya kuuzim MWENGE.

kwanza sipingi swala nzima la kubana matumizi.
Swala langu lipo hapa je Serikali ilikuwa haina taarifa ya kwamba siku ya kizima MWENGE kuna safari ya Viongezi wa kada mbali mbali wa serikal watasafiri kwa ajili ya maazimisho ya MWENGE?
Jibu kama NDIO AU HAPANA ..

KAMA JIBU NDIO WALIKUWA WAKIJUA...kwanini serikal isitoe Taarifa mapema kwa viongozi husika kwa ajili ya kuwapa taarifa ya kwamba hakutakuwa na safari na POSHO kuepusha mgongano kurudisha Posho .

Watalam wa mambo ya serikal mtupe maelezo maan wangine hatuelew mambo ya kiserikal.
Nawakilisha.
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.

Hatudanganyiki rudisheni fedha tu alietoa agizo ni Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maana nyingine ni amri ya Rais, sasa sidhani kama kuna mtu anaweza kuipinga. Hatushindwiiii!!!!!! wananchi tumefurahi sana duuuh
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Mkuu, inaonyesha alama pekee unayoifahamu katika kuandika ni nukta tu.
 
Sasa kuzima mwenge tu mpaka mchukue mahela yote hayo!!!!! Hatushindwiii !!!!!!!!! wakati mshahara na madaraja hatujapandishwa, wazime huko huko Simiyu mtu mmoja anatosha na weingine wa mkoa washuhudie huko huko sisi wa Iringa tujiandae na kuchangia damu mahospitalini jamani
 
Hebu rudisheni pesa hizo na muache kulalamika,maana nyinyi ndio wale mliodiriki kuwaibia wapinzani kwa kuwatangaza washindi wasiostahili leo mnalia nini .....???
 
Mkuu weka clip ya ule muziki wa Diamond ft Psquare unaitwa Kidogo, NIMEPANDA JUU YA MEZA NAUSUBIRI NICHEZE MKUU
 
Sidhani kama ni kweli ,ila kama ni kweli wao wanaonaje,ni jambo zuri liliomriwa na mkuu wa nchi au ni baya?wamejaribu kukaa chini na kutafakari kiasi cha pesa ambacho kingetumika na wameona ilikuwa ni halali pesa hiyo imwagike huko wakati kuna huduma kibao za kijamii ambazo zinahitaji hizo fedha?
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Ingawa umetunga lakini utunzi wako unakaribiana na ukweli kwa sababu siku zote walikuwa wapi kutoa uamuzi huo mpaka kusubiri bado siku moja ndiyo unatoa uamuzi, hii inaonyesha walikurupuka
 
Back
Top Bottom