Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jiongeze kidogo tu kimawazo,hela zilikuja kama posho ya safari ya hao viongozi ,wahasibu wakalipa na wakawawekea mafuta ya safari je unafikiri mtu aliyeanza safari kutoka Lindi kalala Dar ili siku inayofuata ambapo ni jana aende simiyu,unamwambia arudishe inakuaje?Atarudishaje?MAFUTA ALIYOTUMIA ATARUDISHAJE?
Hivi posho ya kujikimu ni hela za maendeleo?Hela zinapangwa na bunge za maendeleo na matumizi ya ofisi,sasa utachukuaje hela ya matumizi ukapeleka kwenye maendeleo?
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] GAMBO NA LIZABONI WALIRUDIA TABORA
Lete source
Wanatakiwa wajitokeze hadharani sio kulalamika kwa kujifichaficha.Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Lete source
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] poleMimi hapa, nimetoka Mbeya jana nikalala Moro nafika Dodoma ndo napata taarifa...
kweli kabisa wanapaswa walalamike....Haya maamuzi ya kurudisha yangetakiwa kufanya mapema kabla hawajapewa pesa..Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.
Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.
Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Ngoja watifuane na watafunane walimpenda wenyewe Nduli IDD Amini
Kumbe ulikuwa hujui kuuzima mwenge ni gharama zaidi ya kuzima moto unaowaka kwenye ghorofa la kitega uchumi?Na ulikuwa hujui kwa nini wale wapinzani wa chama tawala walikuwa ant-mwenge?[emoji2] Kuuzima mwenge ni zaidi ya kuzima jengo lililopigwa bomu shauri yako.Hivi kuzima tu mwenge kuna bajeti yake na kubwa hivyo!
He he hee..wanataka kubishana na Mtukufu [emoji38] [emoji38]Kama ni kweli, kuna dalili ya mtu kutumbuliwa..tena bila ganzi....stay tuned!
Atakayebainika atakula ban.kwa hakika hapa mkuu anatakiwa afikirie kwanza mawazo mengine...la sivyo atatafuta mgomo baridi bure...hakuna kitu kibaya kiongozi kufanya kazi na watu wako wa chini wasiporidhishwa na wewe.. wanafanya ilimradi siku ziende uondoke madarakani
Madaraka matamu asikwambie mtuwapo walioshiba pesa hata akitenguliwa ataendelea kupeta