kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Watumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi, watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji, wajukuu na marafiki.
Hii imepelekea wengi wa wateuliwa kufanya kazi kwa wasiwasi na woga wa kuharibu, kuogopa kuwagusa hao(untouchable) watumishi wezi watoto wa masulutan.
Ndio maana jitu linaiba linaandikiwa barua lijieleze lilikwapuaje hizo pesa na bado kakalia kiti!
Ni woga tu wa wateule fanyeni kazi lawama zitawakuta wakati mmeshafyeka wezi majizi na wabadhirifu wa maendeleo , wao wanajipigia lawama kwa wateuliwa wanaonekana hawafanyi kitu ni vizuri sana bwana Makonda kaligundua hilo anawatandika round kick tu na mitama ya shingo pigeni kelele mpaka kwa wizi hauonekani!
Hata ukiliwa kichwa kwa muda mchache umewahenyesha na wamenyooka na kujikojolea!