Wakuu wa shule na walimu kuhamishwa vituo vya kazi

mr. smith

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Heshima mbele wakuu JF,
kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa shule na walimu kuhamishwa,tafadhali mwenye taarifa rasmi atufahamishe.
Nawasilisha
 
Hivi wewe unajielewa kweli au umeamka na hang over kichwani? Unatoa taarifa, harafu unataka tena upewe taarifa, eeeh! Kama na wewe ni great thinker basi kazi ipo Tanzania.
 
Heshima mbele wakuu JF,
kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa shule na walimu kuhamishwa,tafadhali mwenye taarifa rasmi atufahamishe.
Nawasilisha
mkuu uko tulawaka nini labda unafikiri utahamishiwa dar es salaam
 
Hivi wewe unajielewa kweli au umeamka na hang over kichwani? Unatoa taarifa, harafu unataka tena upewe taarifa, eeeh! Kama na wewe ni great thinker basi kazi ipo Tanzania.
hajielewi
 
Hivi ni kwanini mtu haleti taarifa yenye mvuto??? Ama anapenda kuanzisha thread tu???

Eti mwenye taarifa na atujuze................ujuzwe nini?????
Wewe mr. smith; jitazame upya ndiyo uje!
 
Last edited by a moderator:
ndio wanahamishwa, wewe unahamishiwa mkoa mpya katavi.
 
Hivi wewe unajielewa kweli au umeamka na hang over kichwani? Unatoa taarifa, harafu unataka tena upewe taarifa, eeeh! Kama na wewe ni great thinker basi kazi ipo Tanzania.

mkuu mwamgunda,wewe ndio hujanielewa,thread yangu imeletwa kama tetesi na ndio maana nikasema mwenye taarifa za uhakika tafadhali atufahamishe.
 
we mwalimu bana kama si mwalimu haya yanakugusaje

kwa hiyo maelezo yako hayo yanamaanisha thread zinazoletwa hapa zichangiwe kutegemea na professional ya mtu au?hatuwezi kufika mkuu,kama huna cha kuchangia unapita kimya kimya tu!mia
 
kwa hiyo maelezo yako hayo yanamaanisha thread zinazoletwa hapa zichangiwe kutegemea na professional ya mtu au?hatuwezi kufika mkuu,kama huna cha kuchangia unapita kimya kimya tu!mia
mkuu huyo mtoa thread ameulizia kama wakuu wa shule na waalimu wanahamishwa kama utaichambua vizuri kauli yake lazima utagundua ni mwalimu kuna vitu vngine inaoneshwa kabisa kama kinahuu
 
Ni kweli mwalimu unahamishiwa kondoa irangi,kwa uziembe kzn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…