Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu uko tulawaka nini labda unafikiri utahamishiwa dar es salaamHeshima mbele wakuu JF,
kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa shule na walimu kuhamishwa,tafadhali mwenye taarifa rasmi atufahamishe.
Nawasilisha
hajielewiHivi wewe unajielewa kweli au umeamka na hang over kichwani? Unatoa taarifa, harafu unataka tena upewe taarifa, eeeh! Kama na wewe ni great thinker basi kazi ipo Tanzania.
Hivi wewe unajielewa kweli au umeamka na hang over kichwani? Unatoa taarifa, harafu unataka tena upewe taarifa, eeeh! Kama na wewe ni great thinker basi kazi ipo Tanzania.
mkuu uko tulawaka nini labda unafikiri utahamishiwa dar es salaam
we mwalimu bana kama si mwalimu haya yanakugusajehakuna sehemu niliyosema mi mwalimu
we mwalimu bana kama si mwalimu haya yanakugusaje
mkuu huyo mtoa thread ameulizia kama wakuu wa shule na waalimu wanahamishwa kama utaichambua vizuri kauli yake lazima utagundua ni mwalimu kuna vitu vngine inaoneshwa kabisa kama kinahuukwa hiyo maelezo yako hayo yanamaanisha thread zinazoletwa hapa zichangiwe kutegemea na professional ya mtu au?hatuwezi kufika mkuu,kama huna cha kuchangia unapita kimya kimya tu!mia