Wakuu wa wilaya wanalipwa Tsh ngapi?

Wakuu wa wilaya wanalipwa Tsh ngapi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habarini. Naomba kufahamu mtu mwenye cheo cha mkuu wa wilaya analipwa pesa ngapi kwa mwezi. natanguliza shukrani?
 
Kwenye salary baada ya makatomakato ya hapa na pale hicho kiasi kinashuka. Ila kinafidiwa sasa na posho kadhaa vikao vya hapa na pale. Ziara n.k
Mkuu wa wilaya hana kato lolote.
 
Back
Top Bottom