matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asante nitafanya hivyo mkuuIngekua ni uzi wa Bi Sandra au uzi wa Kuweka kitunguu nyuma ungepata wachangiaji.
Nenda mtaa wa uhuru kwa nyuma huu mtaa wenye stationeries
Hahaha haya Mkuu. Huwa sina wasiwasi na maelekezo yako.Nenda Mkuki na Nyota kamtafute dada anaitwa Godance Andrew atakusaidia.
Lakini unavyoenda mpelekee manuscript yako iliyoandaliwa vizuri.
Halafu ukifika pale tabia zako za UVCCM na Awamu ya tano weka pembeni,
Ukifanya hivyo kazi yako itawekwa kapuni na utajutia nguvu zako.
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.
Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.
Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.
Igweee!!!
Asante. Toa tu location ya ofisi ilipo nitakuja. Kwa manufaa ya wengine pia, Tutawasiliana piaHabari mm ni printer , naprint vitabu, business cards, id cards, Tshirts , calendars, banners, wedding card nk mkuu wasiliana nami pm au nitumie namba yako tuwailiane
Mkuu habari? Ukihitaji Android application kwaajili ya kitabu chako naomba tuwasiliane +255759702766Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.
Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.
Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.
Igweee!!!
natilia mkazo hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuuu,unaweza fanya self publishing au ukafanya na Publishing company.Unaweza pia ukafanya electronic Publishing ukakitoa kwa njia ya Amazon ama njia nyingine mbadala.Je lengo lako ni kutengeneza pesa?Peleka Amazon.
Watu wanasema amazon hailipi kwa vitabu vya kiswahili.Mkuuu,unaweza fanya self publishing au ukafanya na Publishing company.Unaweza pia ukafanya electronic Publishing ukakitoa kwa njia ya Amazon ama njia nyingine mbadala.Je lengo lako ni kutengeneza pesa?Peleka Amazon.
niko kongo/ nahoro napatikana hapoAsante. Toa tu location ya ofisi ilipo nitakuja. Kwa manufaa ya wengine pia, Tutawasiliana pia
Mkuu watu wanasema.Peleka kitabu kule kisha uone kama kinalipa au hakilipi.Mkuu kila mtu ana fursa zake na bahati yako.Kama kitabu chako hakilipi amazon basi hata huku mtaani hakitalipa.Watu wanasema amazon hailipi kwa vitabu vya kiswahili.
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.
Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.
Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.
Igweee!!!
Mimi niliye huku Kasulu unadhani haya maelezo yamejitosheleza?niko kongo/ nahoro napatikana hapo
Soko la vitabu vya bongo kule sio kubwa labda kama unafanya mambo yako mengine kule upeleke just as side hustle. Ila kama unaishi kwa kuandika vitabu sidhani kama unazungumza ukweli.Mkuu watu wanasema.Peleka kitabu kule kisha uone kama kinalipa au hakilipi.Mkuu kila mtu ana fursa zake na bahati yako.Kama kitabu chako hakilipi amazon basi hata huku mtaani hakitalipa.