Wakuu wapi napata msaada wa kuchapisha kitabu changu

Wakuu wapi napata msaada wa kuchapisha kitabu changu

Vitabu vya Kiswahili Amazon havinunuliki.
Tafuta wazo zuri andika kwa Kiengereza,kama English yako ndogo tafuta mtu afanye tafsiri.
Mawazo mazuri yapo mengi ,ila uzingatie utamaduni,kwa sababu unaiandikia Dunia.
 
Back
Top Bottom