Wakuu yuko wapi msanii Abiola?

Wakuu yuko wapi msanii Abiola?

Sio Abiola mkuu , aende Yombo Dovya uwanja wa makaburi ya city jirani na pale ndo kwao
Tena ukifika utaona sura za wadogo zake, wamefanana sura na mwili
wapi Nicetas? jamaa kavimba mwili utadhani ana kwashiorkor... nywele njanooo tumbo ndo usiseme......
 
afu unaonekana binti mrembo sana.. unafaa yale mambo yetu
Mm sijawahi kumvunjia mtu heshima, tujaribu kuelewa nini maana ya demokrasia, nini maana ya freedom of speech..

Naona wewe unajaribu kufanya kitu ambacho kipo nje ya misingi ya jf... Heshima haitoswi kodi popote pale duniani...
 
Abiola yupo jina lake halisi anaitwa MASHAKA MATONGO au ABIOLA sasa hiv ni dereva wa daladala magali yaendayo mbagala-kariakoo
images.jpeg
 
Doh! umenikumbusha huyu anaitwa mashaka matongo jamaa allishirikiana sana na kina JB ,natasha, seki yaani kundi la mambo hayo.
 
Back
Top Bottom