Wakwe za Beni Pol Matatani! Wasakwa Kenya Nzima

Wakwe za Beni Pol Matatani! Wasakwa Kenya Nzima

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wale Wakwe za kijana wetu huko Kwa majirani zetu wamekamatwa kwa tuhuma za kukwepa kodi za Mabilioni. Namuona kijana akirudisha timu bongo kimya-kimya.
 

Attachments

  • Screenshot_20190822-140031.png
    Screenshot_20190822-140031.png
    148.4 KB · Views: 61
Naona jamaa nae huyu demu kamfanya awe mvivu siku hizi mziki hauchukulii serious kama zamani au sijui ndio nae anadanga.
Ben Pol kani-disappoint sana! Yale yale waliyokuwa wamefanya akina Rachel baada ya kupata bwana wa Kiarabu, ndiyo anayafanya mwanaume mzima Ben Pol! Yaani tayari ameshaufanya muziki kwake ni hobby na sio kazi tena!! Ngoja aanze kulambwa vibao huko, ndo atakuja kujua heshima ya mwanaume ni kazi hata kama ni ya kusukuma mkokoteni na sio pesa ya mwanamke!
 
Back
Top Bottom