BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Anadaiwa Ksh 14bliion sawa na Tsh 308blioniWale Wakwe za kijana wetu huko Kwa majirani zetu wamekamatwa kwa tuhuma za kukwepa kodi za Mabilioni. Namuona kijana akirudisha timu bongo kimya-kimya.