Wakwe za Beni Pol Matatani! Wasakwa Kenya Nzima

Naona jamaa nae huyu demu kamfanya awe mvivu siku hizi mziki hauchukulii serious kama zamani au sijui ndio nae anadanga.
Ben Pol kani-disappoint sana! Yale yale waliyokuwa wamefanya akina Rachel baada ya kupata bwana wa Kiarabu, ndiyo anayafanya mwanaume mzima Ben Pol! Yaani tayari ameshaufanya muziki kwake ni hobby na sio kazi tena!! Ngoja aanze kulambwa vibao huko, ndo atakuja kujua heshima ya mwanaume ni kazi hata kama ni ya kusukuma mkokoteni na sio pesa ya mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…