Wakwepeni wadada wapiga vizinga

Inakuwa mzinga pale tuu ambapo mwanamke hatoi mbususu. Kama mwanamke anatoa mbususu na ninaipelekea moto basi ata akiomba million huo sio mzinga
 
Jana nilimpigia akataka aniambie kitu, nikasema subiri. Dakika chache nikamtext, wakati huo mzee akapiga simu nikaongea nae kwanza.

Sasa kurudi kwa huyu anauliza kama nimekula nikajua mara ya mwisho kujibu hili swali ni 2020. Nikamjibu tu kisha nikageuza mada, akanambia hajala. Last week nimempa 37k na leo nimpe kiasi gani sijui na next week atake kiasi gani. Wiki hii haji, next week akitaka kuja ataomba hela na akitaka kuondoka ataomba pia. Nitampa hakuna namna
 
Alivojibu hajala kama vile ulimuuliza[emoji23][emoji23]
 
Umesahau vilevile mashababi wa JF hawaoi single mothers
 
Ila wanawake tafuteni hela

Imagine

37k tu
 
Tafsir ya kizinga au sio kizinga inategemea na uchumi wako wewe.

Ukiwa na uchumi wa baiskeli,ukiombwa IST au vits Utaona umepigwa kizinga maana hata kwenye pikipik ujafikia.

Ila ukiwa na uchumi wa private jet,
Ukiombwa IST au Vits utatoa kama unavotoa pipi kwa mtoto mdogo

Nashauri Tufanye mahusiano kwa level zetu🙏
 
Sii mbususu anakupa...basi huyo anafaa kupewa hela...wee mpe hela tena ikiwekekana wakati unamgegeda unamwagia minoti au unamwambia abananishe dollar katikati ya tako 🤣🤣🤣🤣
 
Vizinga ni tabia ya mpenzi wako kukuomba pesa kila mnapo kutana au akikupigia simu lazima akuombe pesa na hawezi kukupigia simu kwaajiri ya mazungumzo yakawaida. Na hawezi kuja kwako na akaondoka bila kuitaji pesa.
 
Kuna Tukio litafuata hutaamini macho yako. Wanawake huwajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…