Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
We mtumie sa atakula wapi mzee!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwa mzinga pale tuu ambapo mwanamke hatoi mbususu. Kama mwanamke anatoa mbususu na ninaipelekea moto basi ata akiomba million huo sio mzingaKwanza emu fungukeni… mnamaanishaje mnaposema vizinga?
Kizinga kinaanzia sh. ngapi? Ili kiwe kizinga kinatakiwa kuzidi amount gani?
Let say we date, nakuomba assist ya kurefill gas… nacho ni kizinga? Nimeona gauni zuri nikuombe uninunulie ni kizinga? Wakati tukienda dinner date natupia hiko kigauni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afanye kazi tu mkuu asifikilie kupewa muda woteWe mtumie sa atakula wapi mzee!???
Alivojibu hajala kama vile ulimuuliza[emoji23][emoji23]Jana nilimpigia akataka aniambie kitu, nikasema subiri. Dakika chache nikamtext, wakati huo mzee akapiga simu nikaongea nae kwanza.
Sasa kurudi kwa huyu anauliza kama nimekula nikajua mara ya mwisho kujibu hili swali ni 2020. Nikamjibu tu kisha nikageuza mada, akanambia hajala. Last week nimempa 37k na leo nimpe kiasi gani sijui na next week atake kiasi gani. Wiki hii haji, next week akitaka kuja ataomba hela na akitaka kuondoka ataomba pia. Nitampa hakuna namnaView attachment 2231672
Umesahau vilevile mashababi wa JF hawaoi single mothersKila mkaka wa JF kapigwa mizinga mpaka kachoka
Kila kishababi cha JF kina mapenzi ya dhati
Kila kishababi kina sauti kubwa kwa kidemu chake
Kila kishababi kina ex kilichomuacha kwa sababu zilizosababishwa na hichi kidada
Kila kishababi kimeshalizwa
Innocent dependant katika ubora wake
Ila wanawake tafuteni helaJana nilimpigia akataka aniambie kitu, nikasema subiri. Dakika chache nikamtext, wakati huo mzee akapiga simu nikaongea nae kwanza.
Sasa kurudi kwa huyu anauliza kama nimekula nikajua mara ya mwisho kujibu hili swali ni 2020. Nikamjibu tu kisha nikageuza mada, akanambia hajala. Last week nimempa 37k na leo nimpe kiasi gani sijui na next week atake kiasi gani. Wiki hii haji, next week akitaka kuja ataomba hela na akitaka kuondoka ataomba pia. Nitampa hakuna namnaView attachment 2231672
Huyu hajapinga kaomba asichukiwe kama atakosa.Hapa wenzako wana kusapot wakitoka huko nje wanahonga kama hawana akili timamu
Sio lazima kuonga kama mnapendana kweli ,ila ukiwa una mpenda mtu lazima umtunze.Huyu hajapinga kaomba asichukiwe kama atakosa.
Mwanamke lazima atunzwe na kuhongwa
Kuna wanaohoji kwani mimi babayake.Sio lazima kuonga kama mnapenda kweli ila ukiwa una mpenda mtu lazima umtunze.
Sii mbususu anakupa...basi huyo anafaa kupewa hela...wee mpe hela tena ikiwekekana wakati unamgegeda unamwagia minoti au unamwambia abananishe dollar katikati ya tako 🤣🤣🤣🤣Jana nilimpigia akataka aniambie kitu, nikasema subiri. Dakika chache nikamtext, wakati huo mzee akapiga simu nikaongea nae kwanza.
Sasa kurudi kwa huyu anauliza kama nimekula nikajua mara ya mwisho kujibu hili swali ni 2020. Nikamjibu tu kisha nikageuza mada, akanambia hajala. Last week nimempa 37k na leo nimpe kiasi gani sijui na next week atake kiasi gani. Wiki hii haji, next week akitaka kuja ataomba hela na akitaka kuondoka ataomba pia. Nitampa hakuna namnaView attachment 2231672
Vizinga ni tabia ya mpenzi wako kukuomba pesa kila mnapo kutana au akikupigia simu lazima akuombe pesa na hawezi kukupigia simu kwaajiri ya mazungumzo yakawaida. Na hawezi kuja kwako na akaondoka bila kuitaji pesa.Kwanza emu fungukeni… mnamaanishaje mnaposema vizinga?
Kizinga kinaanzia sh. ngapi? Ili kiwe kizinga kinatakiwa kuzidi amount gani?
Let say we date, nakuomba assist ya kurefill gas… nacho ni kizinga? Nimeona gauni zuri nikuombe uninunulie ni kizinga? Wakati tukienda dinner date natupia hiko kigauni.
Kuna Tukio litafuata hutaamini macho yako. Wanawake huwajuiHabari wanajf
Kumekuwa na tatizo kubwa la wadada wengi kupiga vizinga wanaume nakushauri ndugu zangu usikubali hii hali hata kidogo inaweza kuharibu mipango yako maisha maana hapo inakuwa sio mapenzi Tena kwamaana nyingine unageuzwa wewe mwanaume kuwa sponsor.
Kuna demu fulani hivi niliwahi kudate nae alikuwa mtu wa vizinga Sana na alikuwa anaishi kwa Wazazi wake na pia alikuwa ni muajiriwa wa Serikalini kuna siku nikaamua nipigie mahesabu kwa kiasi chote nilichotoa kwa Huyo manzi ikaja laki 2.5 na hapo tulikuwa tupo kwenye mahusiano ndani ya wiki 3 imagine wiki 3 tu ni pesa hiyo vipi kama ingekuwa nina miezi 2 nae ingekuaje?Hii kitu ilinistua Sana.
Baada ya siku akaja kuniomba Tena nikamuuliza unanipenda kwa asilimia ngapi? Akaniambia kwanini umeniuliza hivyo me nikamjibu wewe nijibu tu akasema kwa 99.9% nikamwambia nashukuru Sana honey kwa kusikia Hilo nikaendelea nina something nataka nikwambie je upo teyari kupokea akajibu ndio kipenzi wewe kuwa huru kuniambia usiponimbia wewe Nani mwingine ataniambia?
Maana wewe umeshika moyo wangu na kwako sijiwezi kabisa nikamjibu nashukuru Sana my love kwa maneno yako matamu kama asali honey binafsi ninaishi kwa mahesabu ninakuwa na ratiba na utaratibu wangu kabisa kwenye matumizi na mimi ni kijana ambaye nina ndoto kubwa tu zakufanikiwa Sana umekuwa ukiniomba Sana fedha sio jambo baya lakini kuna wakati nakupa fedha nje ya matumizi niliyojipangia nafanya hivi ni kwasababu nakupenda na ni wajibu wangu kukujali as a man and as your boyfriend lakini imekuwa ikinicost na kuvuruga mipango yangu ya maisha so nakuomba kama ikitokea nimekuambia sina hela naomba unielewe na upokee kwa moyo mkunjufu na hapo utakuwa umefanya part yako kama mtu unayenipenda kama ulivyosema unanipenda kwa asilimia 99.9 mwisho kabisa nikamwambia s niwie radhi kama nitakuwa nimekuumiza kihisia akaniambia hapana my sweetie Hilo nilikuwa sijui Asante kwa kuwa muwazi kwangu wewe kuwa na Amani tu ujumbe wako ushafika kwangu.
Baada ya kumaliza nazungumzo nae yale siku zinazofuata niliona mabadiliko makubwa Sana kwake omba omba zilipungua Sana hata upendo uliongezeka kuna kuna kipindi akawa aniletea zawadi wakati hapo kabla sijawahi kupewa hata zawadi kuna wakati anakuja ghetto kana na mazagazaga mengi kifupi mambo yalikuwa mengi
NB: sio wote wanaopiga vizinga hawakupendi sometimes sisi Wanaume tunawazowesha hawa mademu zetu ndio maana wanakuwa omba omba Sana