Wakwepeni wadada wapiga vizinga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Hongera sana kwa kupendwa asilimia 99.9 hizi zote ni juhudi ya serikali ya awamu ya sita,mama kaupiga mwingi sana,sisi wengine huwa hatupendwi hata kwa asilimia 0 huwa tunachapa na kutembea tu kuunga juhudi za jiwe [emoji851]
 
Nimejifunza kitu
 
Nimesoma heading TU,
Nikajiuliza,
Mpaka anakupiga vizinga mlikuwa unaongeza nae Nini??
Pigeni vizinga Tu Tena mara mobile yake
 
Tunachomaanisha sisi ukiwa una omba omba sana au unatunga story ilimradi upewe hela
Vizinga tunachomaanisha ni kuwa una omba omba Sana yaani kupita kiasi unakuta ndani ya wiki unaomba si chini ya Mara 5 au unatunga story ndungu yako kafariki, una umwa au umepata ajali so unahitaji hela ya matibabu na mengine kama hayo ilimradi upewe hela kwa hicho ulichouliza sio mbaya lakini isiwe too much mwisho wa siku utaonekana ni mxigo
 
Nishakwambia huyu manzi ni muajiriwa wa Serikalini kazi yake ina mpunga tu mzuri sema alikuwa ajiendekeza Sana kuomba kwangu sio kwasababu uwezo alikuwa hana kuna wengine wanazani kukuomba ni moja ya mapenzi ila baada yakumchana ukweli nikaona kuna mabaliko kipi ujaelewa hapo?
 
Kuna mke wa mtu juzi kataka pesa ya kusuka, mara nimtumie pesa ya fremu miezi 6 1.8M nilibaki nacheka tu, sio kwamba sina uwezo wa kumpa hiyo pesa tatizo ni kwamba ana mme mtumishi pia why matatizo yake aniambie mimi.

Kuhusu kula uchi wake ni mara moja tu, siku hizi nikimuita nimpige kimoja analeta maneno mengi nami nikampotezea ila namuunga kwenye bidhaa zake mara kadhaa.

Kwa ufupi nilichogundua hawa wadada ukiwa mtu wa kusema YES kwa kila jambo wanakuchukulia poa sana, kuna muda inabidi umunyime ili asikuzoee sana.
 
We nae ulkuwa fala sana...yaani mihela yote ukampe mtoto wa kike kisa nn????si apewe na baba ake
Sio kwamba hiyo hela nimetoa kwa pamoja mimi sikuwa mbwege kiasi hicho nitoe laki 2.5 kwa mkupuo but baada yakupiga mahesabu hela alizokuwa ananiomba na kumpa ndio jumla inakuja hiyo laki 2.5
 
Sii mbususu anakupa...basi huyo anafaa kupewa hela...wee mpe hela tena ikiwekekana wakati unamgegeda unamwagia minoti au unamwambia abananishe dollar katikati ya tako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cost benefit analysis imehusika hapo. Sina hasara sana akinipiga chenga
 
Cost benefit analysis imehusika hapo. Sina hasara sana akinipiga chenga
Wee kama mbususu unapewa wala huna hasara kaka maana unapewa burudani pendwa.

Mwanamke ambaye ananipa sex siku ya kwanza, ambaye ananiambia kuwa anagegedwa na wanaume wengine zaidi yangu na ontop of that hataki strings attached...huyo yeye anipige tuu mizinga nitampa.
 
Muulize siku nyingine umejaribu kuwaomba wazazi wako wamesemaje, utasikia lakini wewe ni mpenzi wangu. Muulize mimi na wazazi kwa imani yako nani ana mapenzi ya kweli. ...utajua unamalizaje hii vita ya kuombwa pesa
Ndugu huyu demu nimeacha nae mbona muda kidogo
 
Akili za hawa viumbe ni za Machale sana halafu sasa wanashindwa namna ya kubehave wao nikuomba tu mimi siwataki wa ivo ni either nikutumie kwa muda mfupi then niku dump, mimi kuna mmoja ame ni win sana mana hana tabia za kuomba omba kwa sasa akitaka kitu najua anauhitaji serious na nitampa moyo ukiwa mweupe na hata kama sina ataelewa vyema kabisa bila kinyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…