Wakwepeni wadada wapiga vizinga

Wakwepeni wadada wapiga vizinga

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari wanajf

Kumekuwa na tatizo kubwa la wadada wengi kupiga vizinga wanaume nakushauri ndugu zangu usikubali hii hali hata kidogo inaweza kuharibu mipango yako maisha maana hapo inakuwa sio mapenzi Tena kwamaana nyingine unageuzwa wewe mwanaume kuwa sponsor.

Kuna demu fulani hivi niliwahi kudate nae alikuwa mtu wa vizinga Sana na alikuwa anaishi kwa Wazazi wake na pia alikuwa ni muajiriwa wa Serikalini kuna siku nikaamua nipigie mahesabu kwa kiasi chote nilichotoa kwa Huyo manzi ikaja laki 2.5 na hapo tulikuwa tupo kwenye mahusiano ndani ya wiki 3 imagine wiki 3 tu ni pesa hiyo vipi kama ingekuwa nina miezi 2 nae ingekuaje?Hii kitu ilinistua Sana.

Baada ya siku akaja kuniomba Tena nikamuuliza unanipenda kwa asilimia ngapi? Akaniambia kwanini umeniuliza hivyo me nikamjibu wewe nijibu tu akasema kwa 99.9% nikamwambia nashukuru Sana honey kwa kusikia Hilo nikaendelea nina something nataka nikwambie je upo teyari kupokea akajibu ndio kipenzi wewe kuwa huru kuniambia usiponimbia wewe Nani mwingine ataniambia?

Maana wewe umeshika moyo wangu na kwako sijiwezi kabisa nikamjibu nashukuru Sana my love kwa maneno yako matamu kama asali honey binafsi ninaishi kwa mahesabu ninakuwa na ratiba na utaratibu wangu kabisa kwenye matumizi na mimi ni kijana ambaye nina ndoto kubwa tu zakufanikiwa Sana umekuwa ukiniomba Sana fedha sio jambo baya lakini kuna wakati nakupa fedha nje ya matumizi niliyojipangia nafanya hivi ni kwasababu nakupenda na ni wajibu wangu kukujali as a man and as your boyfriend lakini imekuwa ikinicost na kuvuruga mipango yangu ya maisha so nakuomba kama ikitokea nimekuambia sina hela naomba unielewe na upokee kwa moyo mkunjufu na hapo utakuwa umefanya part yako kama mtu unayenipenda kama ulivyosema unanipenda kwa asilimia 99.9 mwisho kabisa nikamwambia s niwie radhi kama nitakuwa nimekuumiza kihisia akaniambia hapana my sweetie Hilo nilikuwa sijui Asante kwa kuwa muwazi kwangu wewe kuwa na Amani tu ujumbe wako ushafika kwangu.

Baada ya kumaliza nazungumzo nae yale siku zinazofuata niliona mabadiliko makubwa Sana kwake omba omba zilipungua Sana hata upendo uliongezeka kuna kuna kipindi akawa aniletea zawadi wakati hapo kabla sijawahi kupewa hata zawadi kuna wakati anakuja ghetto kana na mazagazaga mengi kifupi mambo yalikuwa mengi

NB: sio wote wanaopiga vizinga hawakupendi sometimes sisi Wanaume tunawazowesha hawa mademu zetu ndio maana wanakuwa omba omba Sana
 
Kila mkaka wa JF kapigwa mizinga mpaka kachoka

Kila kishababi cha JF kina mapenzi ya dhati

Kila kishababi kina sauti kubwa kwa kidemu chake

Kila kishababi kina ex kilichomuacha kwa sababu zilizosababishwa na hichi kidada

Kila kishababi kimeshalizwa

Innocent dependant katika ubora wake
 
You sound bitter!
 
😂😂😂😂😂😂 yan mnajazana hapa.. na tukitoka Jf tunawaomba na mnatoa vile vile.
Sio kwangu Labda kwa wengine hiyo kitu nimeacha muda sasa na huyo ndio alikuwa demu wangu wa mwisho wa vizinga
 
Kwanza emu fungukeni… mnamaanishaje mnaposema vizinga?

Kizinga kinaanzia sh. ngapi? Ili kiwe kizinga kinatakiwa kuzidi amount gani?

Let say we date, nakuomba assist ya kurefill gas… nacho ni kizinga? Nimeona gauni zuri nikuombe uninunulie ni kizinga? Wakati tukienda dinner date natupia hiko kigauni.
 
Mtu anayeijua falsafa ya hawa viumbe please anisaidie

_20220520_104227.JPG
 
Habari wanajf

Kumekuwa na tatizo kubwa la wadada wengi kupiga vizinga wanaume nakushauri ndugu zangu usikubali hii hali hata kidogo inaweza kuharibu mipango yako maisha maana hapo inakuwa sio mapenzi Tena kwamaana nyingine unageuzwa wewe mwanaume kuwa sponsor.

Kuna demu fulani hivi niliwahi kudate nae alikuwa mtu wa vizinga Sana na alikuwa anaishi kwa Wazazi wake na pia alikuwa ni muajiriwa wa Serikalini kuna siku nikaamua nipigie mahesabu kwa kiasi chote nilichotoa kwa Huyo manzi ikaja laki 2.5 na hapo tulikuwa tupo kwenye mahusiano ndani ya wiki 3 imagine wiki 3 tu ni pesa hiyo vipi kama ingekuwa nina miezi 2 nae ingekuaje?Hii kitu ilinistua Sana.

Baada ya siku akaja kuniomba Tena nikamuuliza unanipenda kwa asilimia ngapi? Akaniambia kwanini umeniuliza hivyo me nikamjibu wewe nijibu tu akasema kwa 99.9% nikamwambia nashukuru Sana honey kwa kusikia Hilo nikaendelea nina something nataka nikwambie je upo teyari kupokea akajibu ndio kipenzi wewe kuwa huru kuniambia usiponimbia wewe Nani mwingine ataniambia?

Maana wewe umeshika moyo wangu na kwako sijiwezi kabisa nikamjibu nashukuru Sana my love kwa maneno yako matamu kama asali honey binafsi ninaishi kwa mahesabu ninakuwa na ratiba na utaratibu wangu kabisa kwenye matumizi na mimi ni kijana ambaye nina ndoto kubwa tu zakufanikiwa Sana umekuwa ukiniomba Sana fedha sio jambo baya lakini kuna wakati nakupa fedha nje ya matumizi niliyojipangia nafanya hivi ni kwasababu nakupenda na ni wajibu wangu kukujali as a man and as your boyfriend lakini imekuwa ikinicost na kuvuruga mipango yangu ya maisha so nakuomba kama ikitokea nimekuambia sina hela naomba unielewe na upokee kwa moyo mkunjufu na hapo utakuwa umefanya part yako kama mtu unayenipenda kama ulivyosema unanipenda kwa asilimia 99.9 mwisho kabisa nikamwambia s niwie radhi kama nitakuwa nimekuumiza kihisia akaniambia hapana my sweetie Hilo nilikuwa sijui Asante kwa kuwa muwazi kwangu wewe kuwa na Amani tu ujumbe wako ushafika kwangu.

Baada ya kumaliza nazungumzo nae yale siku zinazofuata niliona mabadiliko makubwa Sana kwake omba omba zilipungua Sana hata upendo uliongezeka kuna kuna kipindi akawa aniletea zawadi wakati hapo kabla sijawahi kupewa hata zawadi kuna wakati anakuja ghetto kana na mazagazaga mengi kifupi mambo yalikuwa mengi

NB: sio wote wanaopiga vizinga hawakupendi sometimes sisi Wanaume tunawazowesha hawa mademu zetu ndio maana wanakuwa omba omba Sana
Kama wakati anakupiga virungu na unampatia hukuwahi kuletewa zawadi.. Sasa hivi hakupigi virungu na anakuletea Zawadi.

Je kipato chake kimeongezekaje baada ya kumwambia huo ukweli? Ama hivyo virungu amevihamishia kwa mwingine na wewe unashirikishwa kula hela ya mwanaume mwenzio?

Hebu tuwaze kwa pamoja Mkuu..
 
Back
Top Bottom