- Thread starter
- #61
Mahusiano hayana level Mzee ni namna tu mnavyoyajengaTafsir ya kizinga au sio kizinga inategemea na uchumi wako wewe.
Ukiwa na uchumi wa baiskeli,ukiombwa IST au vits Utaona umepigwa kizinga maana hata kwenye pikipik ujafikia.
Ila ukiwa na uchumi wa private jet,
Ukiombwa IST au Vits utatoa kama unavotoa pipi kwa mtoto mdogo
No
Nashauri Tufanye mahusiano kwa level zetu🙏