Wala bata wa JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye Arguing mm nimezaliwa May na ninawanangu 3 wote tumezaliwa May usiombe utukute tukiwa kwenye hayo mambo ni vurugu tupu.

Jr[emoji769]
 
Kwanza nakusifu kitu kimoja Mshana Jr, kuna action ulichukua ya akili sana dhidi ya jamaa mmoja aliyekuja kukupinga kuhusu suala la Ushirikina. Jamaa alitoa povu sana siku hiyo na matusi kibao ila wewe ulichofanya ni kukaa kimya na kumpuuza. Kwanza hongera kwa hilo...
Pili tangu siku hiyo sioni hizo mada zinazohusu hayo mambo, na umekuwa mtoa mada mzuri katika majukwaa mengine bila kujihusisha na mada za kishirikina japo tumezimiss [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…