Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hapo kwenye Arguing mm nimezaliwa May na ninawanangu 3 wote tumezaliwa May usiombe utukute tukiwa kwenye hayo mambo ni vurugu tupu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1342880View attachment 1342881
Jr[emoji769]
Wala bata njooni mtoe hangover[emoji28]View attachment 1343091
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye Arguing mm nimezaliwa May na ninawanangu 3 wote tumezaliwa May usiombe utukute tukiwa kwenye hayo mambo ni vurugu tupu.
Yaan kwahili sibishi kabisa mm na wanangu tupo hivyo ngoja tuone kama kunawengine wanakubaliana na mm waliozaliwa May.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
😋😋😋 nakula kwa macho. 👀Wala bata njooni mtoe hangover😅View attachment 1343091
Hahahaha!😋😋😋 nakula kwa macho. 👀
Tuoneane huruma jamani, tunao umia nisie tupunguzie kidogo makali gal 😊 maana kama hii ni Feb hv mpaka kufika Dec tutakuwa tumeshika adabu kwakweli. 😂Hahahaha!
😂😂😂 dah nimecheka sana, kweli tutaelewana kidogo kidogo 😂😂😂😂.
Kama mambo ni hv! baadaye ukiambiwa unakibamia wala usikasilike kabisa. 😂😂😂