Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bata batani...wana wa stress free zone..!!!!
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada hii.. Hata kama uko kibanda umiza kwa mama muuza na jero yako ukila ngumu kumeza na cheni bloku.. Bado unakula bata...
Ama la uko na mkoko wa mwana kakuazima uoshee.. Bado ni moment ya kula bata.. Weee tupia tuu... Lakini ficha plate number
Hata kama mmealikwa kwenye karamu ya ofisi, jirani, ndugu, harusi.... Hafla za kichama na serikali wee tupia tuu... Hiyo ni moment yako ya kula bata...
Hata kama uko zako bush umeamua kujitenga ukafurahi na kima mijusi na ngedere.. Tupia kwa raha zako
Usiache kutupia hata kama si tukio lako ni la mwana ama mchuchu
Maisha yetu yamejaa CHANGAMOTO na setbacks kibao.... Ukizishikia stress bango... Zitakumaliza utuache tukichill na vilimbwende vya mzee baba... Kuwa sehemu ya wala bata wa JF.... Onesha wapi upo au ulipokuwa ukichill na pengine hata kula tundi kimaskhara
Jisikie huru kujiachia... Usiendekeze stress na majungu... Vitakumaliza... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Yaani Corona ingekuwa imesababishwa na haramu, kwa kweli nisingeponaView attachment 1403196
God save us
Bro umetisha mm POMBE Kali nop..maana kilichowahi nikuta sinza NILIKULA SINGILEND NA BOXER ZA JAMAA WENYE MABAKA HALAFU NIKAJIFANYA KUWAVIMBIA KISA WINE ZIMEJAA KICHWANI..MM SERENGET MWISHO HEINKEIN....lampard manzeseSame seat... Same location.. Plan B JUST.. Mengo district.. Kampala View attachment 1399190
Jr[emoji769]
Bro umetisha mm POMBE Kali nop..maana kilichowahi nikuta sinza NILIKULA SINGILEND NA BOXER ZA JAMAA WENYE MABAKA HALAFU NIKAJIFANYA KUWAVIMBIA KISA WINE ZIMEJAA KICHWANI..MM SERENGET MWISHO HEINKEIN....lampard manzeseView attachment 1410643View attachment 1410643