google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
HahahhahahhHapana hayo ni matumizi mabaya ya bidhaa adhimu [emoji1]
Jr[emoji769]
Itakuwa maana maabara kazi kibao hazijafanyiwa upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23]labda kajiopolea moja kimasihara sasa anakula bata mahali kimya kimya
Jr[emoji769]
Hivi hata sisi wala miguu ya kuku,firigisi,na vichwa vya kuku ni wala bata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mizigo ukipata pilipili nzuri unatafuna zote hizo,hutupi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Da kwa jinsi navyopenda vyundu nateseka sana
Me ndo naanza darasa la kwanza ,watu mnapiga ulanzi si mstaafu bata mtuachie sisi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app