Wala bata wa JF

[emoji15][emoji44][emoji87][emoji87][emoji25]dah pole sana mdau... Pengine ni pacha wake ama reincarnation yake
...mshana huyo dada kafanana na marehemu demu wanguπŸ™„

Jr[emoji769]
 
Well, it depends with somebody's hobbies or whatever, it doesn't matter how much money you can use ila kila mtu ana definition yake ya kula bata, for me natumia nguvu nyingi kujipatia mkate wangu wa kila siku lakini for each amount of revenue ninayoingiza mfukoni lazima kuna pande liingie kwenye kula bataa hiyo haikwepeki.

First huwa naamini the more you spend the more you earn, then huwa naamini katika kujipa self rewards, katika kila task ninayojipa huwa niki achieve lazima nijipe reward, iwe kwenda vacation, out za kawaida, shopping or whatever hii imenijengea morali ya kufanya kazi zaidi na zaidi.

By the way ugonjwa wangu mkubwa ni vacations bata langu ni la kusafiri na kwenda kutafuna mifupa nje ya mahali nilipopazoea.
Tusijinyime jamani, tufanye kazi, tuwekeze lakini swala la kula bata ni VITAL you know πŸ˜‚πŸ˜‚ (in le mutuz's voice )

VUNJA MIFUPA KAMA MENO IPO!
 
By the way ugonjwa wangu mkubwa ni vacations bata langu ni la kusafiri na kwenda kutafuna mifupa nje ya mahali nilipopazoewa.
Tusijinyime jamani, tufanye kazi, tuwekeze lakini swala la kula bata ni VITAL you know [emoji23][emoji23] (in le mutuz's voice )

VUNJA MIFUPA KAMA MENO IPO! [emoji298][emoji298][emoji298][emoji123][emoji109][emoji625][emoji419]
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…