Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Bata batani, wana wa stress free zone

Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada hii.. Hata kama uko kibanda umiza kwa mama muuza na jero yako ukila ngumu kumeza na cheni bloku.. Bado unakula bata...

Ama la uko na mkoko wa mwana kakuazima uoshee.. Bado ni moment ya kula bata.. Weee tupia tuu... Lakini ficha plate number

Hata kama mmealikwa kwenye karamu ya ofisi, jirani, ndugu, harusi.... Hafla za kichama na serikali wee tupia tuu... Hiyo ni moment yako ya kula bata...

Hata kama uko zako bush umeamua kujitenga ukafurahi na kima mijusi na ngedere.. Tupia kwa raha zako

Usiache kutupia hata kama si tukio lako ni la mwana ama mchuchu

Maisha yetu yamejaa CHANGAMOTO na setbacks kibao.... Ukizishikia stress bango... Zitakumaliza utuache tukichill na vilimbwende vya mzee baba... Kuwa sehemu ya wala bata wa JF.... Onesha wapi upo au ulipokuwa ukichill na pengine hata kula tundi kimaskhara

Jisikie huru kujiachia... Usiendekeze stress na majungu... Vitakumaliza... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Pacha wa Pierre conki


Jr[emoji769]
 
mkwanja
IMG_20191224_134552_HDR.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bata halina umri


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom