Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu alikula bata kwa namna hii...teh[emoji23]View attachment 1327902
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu pia alikula bata kwa namna hii...teh[emoji23]
View attachment 1327897
Sent using Jamii Forums mobile app
Bata batani...wana wa stress free zone..!!!!
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada hii.. Hata kama uko kibanda umiza kwa mama muuza na jero yako ukila ngumu kumeza na cheni bloku.. Bado unakula bata...
Ama la uko na mkoko wa mwana kakuazima uoshee.. Bado ni moment ya kula bata.. Weee tupia tuu... Lakini ficha plate number
Hata kama mmealikwa kwenye karamu ya ofisi, jirani, ndugu, harusi.... Hafla za kichama na serikali wee tupia tuu... Hiyo ni moment yako ya kula bata...
Hata kama uko zako bush umeamua kujitenga ukafurahi na kima mijusi na ngedere.. Tupia kwa raha zako
Usiache kutupia hata kama si tukio lako ni la mwana ama mchuchu
Maisha yetu yamejaa CHANGAMOTO na setbacks kibao.... Ukizishikia stress bango... Zitakumaliza utuache tukichill na vilimbwende vya mzee baba... Kuwa sehemu ya wala bata wa JF.... Onesha wapi upo au ulipokuwa ukichill na pengine hata kula tundi kimaskhara
Jisikie huru kujiachia... Usiendekeze stress na majungu... Vitakumaliza... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Asante saana kwa picha uliyoambatanisha picha iliyonichangamsha.
Kiukweli Mshana Jr, huwa namfikiria sana kuwa multi purpose humu JF!Jr anatumika na wasio julikana, anawaingiza mkenge muweke picha hafu muanze kukimbizana bila mpangilio.
Alisikika mlevi mmoja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante kwa kuona mbali.Jr anatumika na wasio julikana, anawaingiza mkenge muweke picha hafu muanze kukimbizana bila mpangilio.
Alisikika mlevi mmoja...
Apo unaeza ukafikiri dem ndo anamiliki izo njembaNa huyu alikula bata kwa namna hii...teh[emoji23]View attachment 1327902
Sent using Jamii Forums mobile app
Em tulia kwanza....😥😥😥😥😥😥 kwani leo tar ngapiNastresss apa hata vibia havishuki nasubiria saa 6 ikifika nifungiwe line