Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1]mada zipo nyingi ila zinatoka kwa wakati husika... Si busara kujibishana na hizi feki ID tunazotumia kwakuwa kuna ID huwa zinacheza na akili za watu... Anakuja na ID hii anakuponda vibaya sana... Halafu anabadili ID anakupa sifa kama zote... Ni muhimu sana kumakinika na hizi ID kwakuwa kuna watu wanazitumia vibaya
Kwanza nakusifu kitu kimoja Mshana Jr, kuna action ulichukua ya akili sana dhidi ya jamaa mmoja aliyekuja kukupinga kuhusu suala la Ushirikina. Jamaa alitoa povu sana siku hiyo na matusi kibao ila wewe ulichofanya ni kukaa kimya na kumpuuza. Kwanza hongera kwa hilo...
Pili tangu siku hiyo sioni hizo mada zinazohusu hayo mambo, na umekuwa mtoa mada mzuri katika majukwaa mengine bila kujihusisha na mada za kishirikina japo tumezimiss [emoji848]

Jr[emoji769]
 
Bata linafika tamati sasa [emoji848][emoji144]
tapatalk_1580597982994.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom