Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

Kwanza nakusifu kitu kimoja Mshana Jr, kuna action ulichukua ya akili sana dhidi ya jamaa mmoja aliyekuja kukupinga kuhusu suala la Ushirikina. Jamaa alitoa povu sana siku hiyo na matusi kibao ila wewe ulichofanya ni kukaa kimya na kumpuuza. Kwanza hongera kwa hilo...
Pili tangu siku hiyo sioni hizo mada zinazohusu hayo mambo, na umekuwa mtoa mada mzuri katika majukwaa mengine bila kujihusisha na mada za kishirikina japo tumezimiss [emoji848]
Inawezekana alimfuata usiku akampigisha kazi nzito alafu akamrudisha gheto msela asubuhi yuko hoi mpaka leo kimyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji102][emoji125][emoji125][emoji100][emoji100][emoji100]
Inawezekana alimfuata usiku akampigisha kazi nzito alafu akamrudisha gheto msela asubuhi yuko hoi mpaka leo kimyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
On serious note... Si vizuri kujibishana na hizi ID bandia tulizonazo kama mtu hajui matumizi yake sahihi... Kujibishana na mtu wa namna hiyo ni sawa na kupiga bomu mochwari kisha ujisifu umeua marehemu

Jr[emoji769]
 
Wife phones her husband and tells him tonight I will be late so dont wait for me for dinner as it's my boss's birthday party and all the staff has been invited
So the husband requested her to send some photos of the food served and this is what she sends [emoji1370][emoji1370][emoji1370][emoji1370] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1346018

Jr[emoji769]
Hahahahaha husband ushahidi amepewa, kwamba mkewe nae ni chakula mezan kwa boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom