Wala rushwa wa sasa wasingeweza kuleta bomba ya mafuta ya Uganda. Tushukuru alikuwepo Magu kwa hili

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
uongozi wa sasa wajinga jinga Rutto alileta wazo la kujenga mradi wa usadishaji wa mafuta Tanga badala ya kupokelewa kwa uzuri alipigwa madongo na kuaibishwa na Raisi fake wetu hapa ambaye hajashinda kura kapora Uraisi.

Mwenzake Magu alipigana sana kupata mradi wa bomba la mafuta lakini huyu Mama ni janga
 
nonsense 🐒
 
Dah! Kwamba Rais Ruto alileta wazo la kujenga Refinery Tanga! This must be celebrated for a century! Ahahahahaha!
 
Back
Top Bottom